Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI WA UWANJA WA KRIKETI FUMBA ZANZIBAR IKULU

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Ujenzi wa Uwanja wa Kriketi Fumba Wilaya ya Magharibi “B”Unguja kutoka Nchini India ukiongozwa na Bw.Jilesh Hitmat Babla,Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises ya India, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 2-6-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe Tabia Maulid Mwita na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mmoja wa Wawekezaji wa Uwanja wa Kriket Fumba kutoka India Bw.Zubin Karkaria CEO wa Kampuni ya VFS.Global, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 2-6-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor