Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

kavbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

kavbet

mavibet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

dental implants turkey clinics

casibom giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

gameofbet

betgit

cratosroyalbet

romabet

1win

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

teosbet

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

Featured Kitaifa

KUNDI LA WHATSAPP LA JAMII YA WAIKIZU ‘ICDT’ LACHANGIA MIL. 10 UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SANZATE

Written by Alex Sonna

 

Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT Juma Makongoro (kushoto) akikabidhi kiasi cha shilingi Milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bunda Changwa Mohamed kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Sanzate iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Bunda. Fedha hiyo imechangwa na kundi la ICDT kupitia kundi la mtandao wa kijamii Whatsapp. Picha na Frankius Cleophace.

 

Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT Juma Makongoro akionesha kiasi cha shilingi Milioni 10 kabla ya kukabidhi kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Sanzate iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Bunda fedha ambayo imechangwa na kundi la ICDT kupitia kundi la mtandao wa kijamii Whatssap.
 
Na Frankius Cleophace – Bunda
 
Wanachama wa kundi la mtandao wa kijamii ‘Whatsapp Group’ maarufu ICDT ambalo linawaunganisha wazawa wa Ikizu wilaya ya Bunda Mkoani Mara kutoka maeneo mbalimbali nchini wamechangia shilingi Milioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Sanzate iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara.
 
 
Akizungumza wakati wa kukabidhi fedha hizo Mei 9,2022 Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT Juma Makongoro amesema kuwa kupitia kundi la Whatsapp ambalo linaundwa wazawa wa Ikizu wilaya ya Bunda Mkoani Mara kutoka maeneo mbalimbali nchini wamechanga kiasi cha shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kuunga nguvu za wananchi katika ujenzi wa shule mpya ya Sanzate.
 
“ICDT tunapongeza wananchi kwa kujitoa katika ujenzi huu naona mnaendelea na ujenzi na sisi tulipokutana kupitia Whatsapp Group yetu ya Wazawa wa Ikizu tulitoa ahadi ya kuchangia shilingi milioni 10 na leo kama mwakilishi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT  nimeleta hizo fedha kwa ajili ya kuwakabidhi”,alisema Makongoro.
 
Makongoro alieleza kuwa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT umesajiliwa kisheria.
 
Makongoro alisisitiza fedha hizo na zingine zinazotolewa na wadau zisimamiwe vyema ili zilete matokeo chanya ili kuwaondoa wanafunzi katika changamoto ya kusafiri umbali mrefu kwenda shule na kuwaepusha na vitendo vya ukatili wa kijinsia.
 
 
Makongoro aliiomba serikali kuweka mkono wake kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi ambao wameanzisha ujenzi tayari kwani wanafunzi wanatembea umbali mrefu jambo ambalo litaendelea kuchangia ufaulu kushuka.
 
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Changwa Mohammed alisema Halmashauri itawaunga mkono wananchi hao katika ujenzi wa shule mpya ya Sanzate na kuagiza Afisa Elimu sekondari na Afisa tarafa ya Chamuriho kuhakikisha wanakutana na kijiji kimoja kinachodaiwa kugoma katika ujenzi huo ili kiweze kushiriki kikamilfu.
 
Vile vile Mkurugenzi aliwasisitiza wananchi kupeleka watoto wa kike shuleni ili kuweza kupata viongozi wa baadae licha ya shule kuwa mbali ambapo alisema kuwa katika Halmashauri ya Bunda bado kuna changamoto ya umbali wa shule.

 

Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT Juma Makongoro akionesha kiasi cha shilingi Milioni 10 kabla ya kukabidhi kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Sanzate iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Bunda. Fedha hiyo imechangwa na Wanakikundi wa kundi la Whatsapp la ICDT.

 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Changwa Mohamed (kushoto) akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 10 kwa mwenyekiti wa bodi ya ujenzi wa shule hiyo ambapo amesisitiza suala la kusimamia vyema ujenzi huo huku mapato na matumizi yakiwekwa wazi.

 

Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ya Waikizu ICDT Juma Makongoro akiongea na wananchi wa kijiji cha Sanzate ambapo amesisitiza mshikamano ili kuleta maendeleo kwa ajili ya kusaidia kizazi kijacho.
Hali ya ujenzi wa shule ya sekondari Mpya Sanzate iliyopo kata ya Mugeta inayojengwa kwa nguvu za wananchi ili kuwapunguzia wanafunzi umbali mrefu wanaotembea zaidi ya kilometa 20 kwenda na kurudi shule ya Sekondari Chamuriho.
Afisa elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya ya Bunda Wandere Rwakatare akitoa ufafanuzi wa jambo katika kuboresha ujenzi wa madarasa yenye ubora.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilayaya Bunda Changwa Mohamed Mkwazu akishauri jambo katika ujenzi huo wa sekondari mpya ya Sanzate inayojengwa kwa nguvu za wananchi.
Mwenyekiti wa kijiji cha Sanzate Adam Boniface akionesha hali halisi ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari Sanzate
Afisa mtendaji wa kijiji cha Sanzate Oxygen Guti akisoma risala mbele ya mgeni rasmi na kueleza changamoto zinazowakabili ikiwemo suala la umbali mrefu ambao wanafunzi wanatembea na kuchagia baadhi yao kuacha shule na kushusha ufaulu kwa wanafunzi nakutumia fursa hiyo kuomba wadau kuendelea kujitokeza ili kuunga nguvu za wananchi.
Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa shule ya Sanzate Godfey Mkata akitoa shukrani kwa wadau wa maendeleo kutoa kiasi cha shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kuunga mkono nguvu za wananchi katika ujenzi huo.
 

 

Picha zote na Frankius Cleophace.

About the author

Alex Sonna