Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

KIHONGOSI AWATAKA WANASIASA KUSHINDANA KWA SERA, ASISITIZA ULINZI WA AMANI YA NCHI

Written by Alex Sonna

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amedai kuwa chama hicho kimepata taarifa zinazoonyesha kuwapo kwa vikao vya siri vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa lengo la kuhamasisha maandamano na vurugu, huku akiwataka wananchi kutoruhusu makundi yoyote kuvuruga amani na utulivu wa nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 13,2026  jijini Dodoma Kihongosi amesema taarifa walizonazo zinaashiria kuwa baadhi ya wanasiasa pamoja na makundi ya wanaharakati wamekuwa wakiratibu ajenda za maandamano badala ya kushiriki katika mijadala ya maendeleo.

Kutokana na hali hiyo, amewataja viongozi wa CHADEMA akiwemo John Heche, Boniface Jacob na Godbless Lema, akiwataka kuelekeza nguvu zao katika ujenzi wa taifa kwa hoja na kushindana kwa sera badala ya kuhamasisha vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi.

“Tunawataka wenzetu waache siasa za matukio na waingie kwenye mjadala wa kujenga nchi. Watanzania wanahitaji suluhisho la changamoto zao za kila siku, si mazingira ya taharuki na migogoro,” amesema Kihongosi

Amesisitiza kuwa CCM imeendelea kujikita katika kutatua changamoto za wananchi kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ikiwemo afya, maji, elimu na miundombinu, akisema hicho ndicho chama kinachokipa kipaumbele.

Kihongosi amesema katika ziara mbalimbali zilizofanywa na CCM, viongozi wamekutana na wananchi kupitia mikutano ya hadhara na kusikiliza kero zao ili kupata majawabu ya changamoto zinazowakabili, huku akimpongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa uongozi anaousema umeleta maendeleo katika sekta mbalimbali.

Aidha, amewataka wananchi, wazalendo na wapenda maendeleo kutoshabikia maandamano na vurugu kwa namna yoyote ile, akisema matukio hayo mara nyingi huwaathiri wananchi wa kawaida zaidi kuliko viongozi wa kisiasa.

“Hasara za maandamano huwa zinawabeba wafanyabiashara wadogo, mama lishe, bodaboda na vijana wanaojitafutia kipato. Mara nyingi huwezi kuona watoto wa viongozi wa kisiasa wakipata madhara hayo. Ndiyo maana tunasisitiza Tanzania ijengwe kwa hoja na si kwa vurugu,” amesema

Pia alidai kuwa kuna watu walioikana hata uraia wao wa Tanzania lakini wanaendelea kushiriki katika kuchochea migogoro dhidi ya nchi, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kusimama imara kulinda uhuru, amani na mshikamano wa taifa.

Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali mtego wa kubaguana kwa misingi ya kisiasa, kikabila au tofauti nyingine, akieleza kuwa umoja wa kitaifa ndiyo msingi wa maendeleo endelevu na kwamba tofauti za kimtazamo zinapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo na kuheshimiana.

Sambamba na hilo, ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuendelea kuwa macho dhidi ya viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, huku akiwataka wananchi kushirikiana navyo kwa kutoa taarifa mapema ili kudumisha usalama wa nchi.

Akizungumzia Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni, Kihongosi amesema imeonyesha hatua kubwa ya kujitegemea kiuchumi na kifedha, akitoa pongezi kwa Serikali na Bunge kwa kusimamia sera na mipango inayochochea maendeleo ya taifa.

About the author

Alex Sonna