Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA YAKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU RASIMU YA MKAKATI WA TAIFA WA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI ENDELEVU.

Written by Alex Sonna
Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma Bw. Omary Mhina, akizungumza wakati akifunga kikao kazi kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.

Na. Saidina Msangi, WF, Morogoro.

Wizara ya Fedha imewakutanisha wadau wa ununuzi na ugavi kutoka katika taasisi za umma nchini, katika kikao kazi cha uthibitisho wa Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu (2026 – 2037).

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kimelenga kupokea maoni na mapendekezo kutoka kwa wadau hao, yanayolenga kuboresha na kuimarisha Mkakati huo kabla ya kuidhinishwa na kuanza kutekelezwa.

Akizungumza wakati akifunga kikao kazi hicho mkoani Morogoro, Kaimu Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bw. Omary Mhina, alisema lengo la kikao hicho ni kupata maoni ya wadau ili kuboresha rasimu ya mkakati ili kuimarisha usimamizi wa mnyororo wa ugavi, kuongeza uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za umma pamoja na kuzingatia misingi ya maendeleo endelevu.

‘‘Tumepokea maoni yote mliyoyatoa na sisi kama Wizara jukumu letu ni kwenda kuyafanyia kazi ili kuboresha maeneo yote tuliyoafikiana na kisha tutarejesha kwenu tena ili muweza kuhakiki kama yale yote tuliyokubaliana yamefanyiwa kazi’’, alisema Bw. Omari.

Aliongeza kuwa utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu utasaidia taasisi nunuzi nchini kuendesha shughuli za mnyororo wa ugavi kwa ufanisi zaidi kwa kuzingatia malengo ya DIRA 2050, matakwa ya Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya mwaka 2025 pamoja na Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410.

Wakizungumza kwa niaba ya washiriki wa kikao kazi hicho, Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi wa Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Morogoro na Rufiji, Bw. Arnold Mapinduzi, alisema kuwa ushiriki wa taasisi mbalimbali katika kupitia rasimu hiyo ni muhimu katika kuhakikisha masuala ya uhifadhi wa mazingira yanajumuishwa kikamilifu katika mifumo ya ununuzi na ugavi nchini.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi kutoka Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Bi. Upeo Sanga, amesema kikao hicho kimewapa wadau fursa ya kujadili na kutoa maoni yatakayosaidia kuboresha rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu wa mwaka 2026–2037 kabla ya kuidhinishwa na kuanza kutekelezwa.

Kikao hicho kilichowakutanisha washiriki kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mamlaka ya Mapato Tanzania, Benki Kuu ya Tanzania, Mamlaka ya Rufani za Zabuni za Umma, Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi, Chuo Kikuu Mzumbe, pamoja na wadau wengine muhimu katika mnyororo wa ugavi, kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dar to Moro, mkoani Morogoro kwa siku mbili kuanzia tarehe 11 hadi 12 Juni, 2026.



Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma Bw. Omary Mhina, akizungumza wakati akifunga kikao kazi kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Afisa Ugavi Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bw. Richard Benaya, akifafanua jambo kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu wakati wa kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu rasimu hiyo, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Mkuu wa Sehemu ya Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Rufani za Zabuni za Umma (PPAA), Bi. Agnes Sayi, akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu wakati wa kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu rasimu hiyo, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Mkurugenzi wa Huduma za Uanachama na Kitaaluma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bw. Amos Kazinza, akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu wakati wa kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu rasimu hiyo, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Emmanuel Elia, akiongoza kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha Bw. Omary Mhina (mwenye shati jekundu), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.



Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala wakati wa kikao kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi Endelevu, kilichoandaliwa na Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa mikutano wa 8-8, mkoani Morogoro.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF,Morogoro.

About the author

Alex Sonna