Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kimataifa

TANZANIA NA QATAR KUENDELEA KUSHIRIKIANA KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA

Written by Alex Sonna

 

 

Na: OWM (KAM) – Doha, Qatar

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amesema Tanzania na Qatar zimeendelea kushiurikiana kwa karibu katika sekta mbalimbali, ikiwemo masuala ya ajira ambapo tangu nchi hizo ziliposaini makubaliano ya ushirikiano wa ajira mwaka 2018 mafanikio makubwa yameonekana katika kuongezeka kwa fursa za ajira kwa Watanzania.

Aidha, amesema kupitia diplomasia ya uchumi inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Watanzania wengi wameendelea kunufaika na fursa za ajira katika soko la ajira la nchini Qatar.

Mhe. Sangu amesema hayo leo Julai 7, 2026 jijini Doha, nchini Qatar wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukutana na Waziri wa Kazi wa Qatar Mhe. Dkt. Ali bin Samikh Al Marri ili kuimarisha ushirikiano katika sekta hiyo. Amesema katika kipindi cha miezi sita iliyopita, kwa kushirikiana na Chama cha Wakala Binafsi wa Ajira, zaidi ya vijana 9,500 wameunganishwa na fursa mbalimbali za ajira ndani na nje ya nchi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mikakati ya Serikali ya kuongeza ajira zenye tija.

“Vijana wa Kitanzania waliopo nchini Qattar wameendelea kuonesha weledi, uadilifu, bidii na nidhamu kazini, jambo lililoifanya Serikali ya Qatar kuendelea kuamini uwezo wao na kutafuta njia za kupanua zaidi ushirikiano katika sekta ya ajira,” amesema

Kwa upande mwengine, Waziri Sangu amesema katika utekelezaji wa Dira ya 2050 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ina jukumu kubwa la kutafuta fursa za jaira kwa ajili ya nguvu kazi ya Tanzania. Pamoja na hayo amepongeza Serikali ya Qatar kwa maboresho ya sheria za kazi nchini Qatar, ambazo zimeweka adhabu kali dhidi ya waajiri wanaokiuka haki za wafanyakazi. 

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wakala Binafsi wa Ajira (TRAA), Abdallah Mohamed ameishukuru Serikali kwa namna inavyoendelea kushirikiana nan chi mbalimbali ikiwemo Qatar katika kuongeza wigo wa fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Ameongeza kuwa, Mkataba waliosaini na JUSOUR, utawezesha vijana kuomba ajira hizo moja kwa moja, huku waajiri kutoka Qatar wakiendelea na uratibu wa usaili na kutoa mikataba yenye maslahi bora kwa waajiriwa.

Kupitia ziara hiyo, Mhe. Sangu alishuhudia kusainiwa kwa makubaliano ya ushirikiano kati ya Taasisi ya Serikali ya Qatar inayosimamia huduma za ajira (JUSOUR) na Chama cha Mawakala Binafsi wa Ajira Tanzania. Alisema makubaliano hayo yatafungua ukurasa mpya wa ajira za kitaalamu ikiwemo madaktari, wahandisi, wataalamu wa TEHAMA pamoja na wahadhiri wenye Shahada za Uzamivu (PhD)

Kadhalika, ujumbe huo pia ulitembelea chuo maalumu cha mafunzo ya wahudumu wa watoto kinachowaandaa wafanyakazi watakaohudumia familia za kifalme (Royal Families) ambapo vijana 77 wa Kitanzania tayari wamepata mafunzo hayo kwa ufadhili wa masomo na kuajiriwa, huku vijana wengine 20 wakitarajiwa kujiunga na mafunzo hayo baada ya kukamilisha taratibu. 

About the author

Alex Sonna