Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA GAMIS KUIMARISHA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA

Written by Alex Sonna
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema, akizungumza wakati akifungua  Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, iliyofanyikia katika ukumbi wa ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Na. Josephine Majura, WF, PWANI
Serikali imezitaka taasisi zote za umma nchini kuimarisha usimamizi wa mali za Serikali kwa kuhakikisha taarifa zote za mali zinaingizwa na kutunzwa katika Mfumo wa Serikali wa Usimamizi wa Mali (GAMIS), ili kuongeza uwajibikaji, kuimarisha matumizi ya rasilimali za umma na kupunguza hoja za ukaguzi.
Maagizo hayo yametolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bi. Pili Mnyema, wakati akifungua Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani  Pwani .
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo, Bi. Mnyema alisema mafunzo hayo yameandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi na watendaji wakuu wa taasisi za umma katika kusimamia mali za Serikali kwa kuzingatia matakwa ya Sheria ya Fedha za Umma Sura ya 348, Kanuni za Usimamizi wa Mali za Umma za mwaka 2024 pamoja na miongozo mbalimbali inayosimamia eneo hilo.
“Mali za umma ni rasilimali muhimu zinazowezesha Serikali kutoa huduma kwa wananchi na kutekeleza miradi ya maendeleo, huku wastani wa asilimia 70 ya bajeti za taasisi za umma ukitumika katika ununuzi unaozalisha mali hizo, usimamizi wake unapaswa kuzingatia uwajibikaji, ufanisi na utii wa sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa”,alisema Bi. Mnyema.
Aidha, taasisi hizo zimetakiwa kuhakikisha mali chakavu, sinzia, ziada na zilizokwisha muda wa matumizi zinaondoshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo iliyopo kabla ya Septemba 30, 2026 ili kuimarisha ufanisi wa matumizi ya mali za umma.
Katika hatua nyingine Bi. Mnyema, amezitaka taasisi za umma kuwasilisha taarifa za ajali, hasara na upotevu wa mali kwa Mlipaji Mkuu wa Serikali ndani ya siku 30 tangu tukio litokee na mali zilizopata ajali au uharibifu zifanyiwe matengenezo mara baada ya kupata kibali husika.
Naye Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mali za Serikali Bw. Ismael Ogaga, alisema kuwa mafunzo hayo yameandaliwa mahsusi ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usimamizi wa mali za Serikali.
Alifafanua kuwa kupitia mafunzo hayo, washiriki wamepata uelewa wa kina kuhusu sheria, kanuni na taratibu za usimamizi wa mali za umma, jambo litakalosaidia kuimarisha uwajibikaji, kuongeza ufanisi wa matumizi ya rasilimali za Serikali na kupunguza hoja za ukaguzi.
Aidha, alisema Wizara ya Fedha itaendelea kutoa mafunzo hayo katika mikoa yote nchini ili kuhakikisha watumishi wa umma wanapata maarifa na stadi zinazohitajika katika kusimamia mali za Serikali.
Kwa upande wao mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Dkt. Revocatus Mushumbusi, alisema kuwa watahakikisha wanayafanyia kazi yote waliyojifunza ili kuimarisha usimamizi wa mali za umma katika taasisi zao.
Aidha, aliiomba Wizara ya Fedha kuendelea kutoa mafunzo kama hayo kwa watumishi wa ngazi za chini wanaoshiriki moja kwa moja katika shughuli za usimamizi wa mali, ili kuongeza uelewa na kuhakikisha utekelezaji wa sheria, kanuni na taratibu unafanyika kwa ufanisi katika ngazi zote.
Katika mafunzo hayo jumla ya mada sita ziliwasilishwa ikiwemo majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali na Upungufu wa Taasisi za Umma kwenye usimamizi wa mali, usimamizi wa vifaa vya kuhifadhia fedha, mali za thamani na nyaraka muhimu, usimamizi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mali (GAMIS), usimamizi wa ajali na potevu za mali za umma na mwongozo wa kushughulikia madai ya fidia pamoja.
Hadi sasa Wizara ya Fedha imeshafanya mafunzo hayo kwa Maafisa Masuuli katika Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Pwani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema, akizungumza wakati akifungua  Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, iliyofanyikia katika ukumbi wa ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema, akiteta jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mali za Serikali Bw. Ismael Ogaga, wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, iliyofanyikia katika ukumbi wa ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mali za Serikali Bw. Ismael Ogaga, akifafanua jambo wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli kuhusu matumizi bora ya mali za Serikali, usimamizi wa ajali na potevu za mali za umma na mwongozo wa kushughulikia madai ya fidia pamoja na usimamizi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mali (GAMIS), yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Msimamizi wa Mali za Serikali Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Neema Luanga, akifanya wasilisho kuhusu majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali na upungufu wa Taasisi za Umma kwenye Usimamizi wa Mali, wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, iliyofanyikia katika ukumbi wa ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Bi.  Bahati Geuzye, akiuliza swali wakati wa wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Baadhi ya Maafisa Masuuli wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli  ikiwemo majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali na Upungufu wa Taasisi za Umma kwenye usimamizi wa mali, usimamizi wa vifaa vya kuhifadhia fedha, mali za thamani na nyaraka muhimu, usimamizi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mali (GAMIS),usimamizi wa ajali na potevu za mali za umma na mwongozo wa kushughulikia madai ya fidia pamoja,  yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Dkt. Revocatus Mushumbusi, akiuliza swali wakati wa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli wa Taasisi za Umma kutoka Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Idara zinazojitegemea na taasisi nyingine zinazofunga hesabu katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
Meza Kuu ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Pili Mnyema (katikati), Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali Wizara ya Fedha Bw. Ismael Ogaga (kulia) na Msimamizi wa Mali za Serikali Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Farida Chamkwea (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Sektretarieti baada ya kuhitimishwa kwa Mafunzo ya Usimamizi wa Mali za Umma kwa Maafisa Masuuli kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga mkoani Pwani.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Pwani)

About the author

Alex Sonna