Featured Kitaifa

 MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UTOAJI WA TUZO ZA MIAKA 50 YA MAADHIMISHO YA SABASABA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, ambapo ni Mgeni Rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za Jubilei ya Dhahabu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).

About the author

Alex Sonna