RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof.Wineaster Saria Anderson alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa  na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

Previous articleIGP SIRRO APANGUA BAADHI YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
Next articleUNFPA KUCHAGIZA USAWA WA JINSIA NCHINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here