RATIBA ya Michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar imetolewa na FIFA katika makundi nane na kila kundi lina timu nne huku Timu za Afrika zikipangwa na vigogo wa soka Duniani.

A:Qatar,Ecudor,Senegal na Uholanzi

B:England,Iran,Marekani na Euro play -Off

C:Argentina,Saudi Arabia,Mexico na Poland

D:France,Denmark,Tunisia na IC Play-Off

E:Espania,Ujeruman,Japan na IC Play-Off

F:Ubelgiji,Morocco,Croatia na  Canada

G:Brazil,Serbia,Switzerland na Cameroon

H:Ureno,Ghana,Uruguary na Korea Kusini

Previous articleRAIS SAMIA: MABADILIKO TULIYOFANYA YANALENGA KWENDANA NA MIFUMO YA KISIASA DUNIANI
Next articleHAMISA MOBETO ATOA POVU KISA WAANDAAJI WA SHOO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here