Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Previous articleWAZIRI GWAJIMA AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA
Next articleUBORESHAJI WA KARAKANA WAZIDI KULETA TIJA TBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here