Baadhi ya Wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)  wakipita kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati wa maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo March 08, 2022 ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)  wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma leo March 8,2022.

Previous articleSAGINI AAGIZA KIKOSI CHA UJENZI CHA POLISI KUSHIRIKI KWENYE MRADI WA UJENZI WA MAGOROFA MAPYA, MABATINI MWANZA
Next articleRAIS DK.MWINYI AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here