Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti hiyo itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mafuta ya Oryx Tanzania, Ndg. Kalpesh Mehta na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit Araman

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na wananchi wa kata ya Nsalaga baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti ya maparachichi itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.

 

Wananchi wa kata ya Nsalaga Jijini Mbeya wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata hiyo leo Machi 7, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleSIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI,COASTAL UNION YANG’ARA UGENINI
Next articleMBUNGE KATAMBI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM JIMBO LA SHINYANGA MJINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here