Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA MHE. MANFREDO FANTI IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimzikiliza Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe.Manfredo Fanti, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe Manfredo Fanti (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor