Featured Kitaifa

KAMATI YA PAC YAKAGUA MRADI WA KUUNGANISHA UMEME KENYA NA TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyonga akizungumza mara baada ya Kaamati hiyo kukagua utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme Kenya na Tanzania sehemu ya Singida, Manyara na Arusha unaotekelezwa na Shirika la Umeme (TANESCO).

Meneja wa kusimamia ujenzi katika vituo vya umeme kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Timothy Mgaya akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) sehemu ya mradi kuunganisha umeme Kenya na Tanzania wakati Kamati ilipotembelea na kukagua mradi huo sehemu ya Singida, Manyara na Arusha.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor