Featured Kitaifa

MATOKEO YA SENSA YAMEONESHA TANZANIA IMEPIGA HATUA KIMAENDELEO-MAJALIWA

Written by mzalendoeditor
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa  Kamati ya Sensa Kitaifa, Hemed Suleiman Abdulah  wakikata utepe kuzindua machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu Aprili 15, 2023. Wengine ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa (Kushoto) na Mtakwimu Mkuu wa Serikali wa Zanzibar Salum Kassim Ali (Kulia) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuzindua machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu, Aprili 15, 2023. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa  Kamati ya Sensa Kitaifa  Hemed Suleiman Abdulah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu, Aprili 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya viongozi wa Serikali na Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa machapisho ya Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu, Aprili 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor