Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet güncel giriş

grandpashabet güncel

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

venusbet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 giriş

grandpashabet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Featured Kitaifa

TASAC YAWEKA WAZI MAFANIKIO YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),Bw.Kaimu Mkeyenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 7,2023 jijini Dodoma  wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya TASAC, pamoja na kuelezea Mafanikio waliyoyapata katika kipindi cha miaka miwili ya  Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

MKURUNGEZI Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),Bw.Kaimu Mkeyenge, kuwasilisha utekelezaji i wa majukumu ya TASAC, pamoja na kuelezea Mafanikio waliyoyapata katika kipindi cha miaka miwili ya  Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 7,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),limefanikiwa Kuboresha ufanisi wa bandari kwa kupunguza uwezo wa shehena inayoruhusiwa kukaa bandarini kwa wakati mmoja (yard density) kutoka asilimia 65 hadi asilimia 50 kwa kuweka Amri ya Tozo ya Bandari Kavu.

Hayo yameelezwa  leo Machi 7,2023 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw.Kaimu Mkeyenge wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya TASAC, pamoja na kubainisha Mafanikio waliyoyapata katika kipindi cha miaka miwili  ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Bw.Mkeyenge amesema kuwa  wamefungua ofisi 11 za Shirika katika maeneo mbalimbali ili kusogeza huduma karibu na wananchi Shirika lina ofisi katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mtwara, Tanga, Mwanza, Kagera, Mara, Kigoma, Rukwa, Ukerewe pamoja na Geita.

”Tumefanikiwa kuboresha ufanisi wa bandari kwa kupunguza uwezo wa shehena hii ni hatua kubwa katika kufanikiwa katika kipindi cha miaka miwili ya awamu ya Sita”amesema Mkeyenge
Hata hivyo TASAC imefanikiwa kukagua meli za kigeni 36 kwa kipindi kuanzia Julai 2022 hadi Disemba 2022, na kuanzia Januari 2023 tumekagua meli za kigeni 37 ambapo shirika linategemea kukagua meli 61 hadi kufikia juni 2023.

Mkeyenge ametaja mafanikio mengine kuwa ni Kuwashirikisha wadau katika maamuzi ya kiudhibiti na masuala mengine yanayowahusu ili kuimarisha mahusiano.

Mafanikio mengine ni kuwezesha ongezeko la idadi ya watoa huduma wanaodhibitiwa na TASAC ambapo idadi ya leseni na vyeti vya usajili ilifikia 1,195 kwa mwaka wa fedha 2021/22 ikilinganishwa na leseni na vyeti vya usajili 941 katika mwaka wa fedha 2018/19 sawa na ongezeko la asilimia 79.

“TASAC imewezesha ongezeko la idadi ya vyeti vya mabaharia waliokidhi masharti kutoka 6,068 katika mwaka 2018/19 hadi kufikia 19,575 katika mwaka 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 31,”amesema Mkeyenge.

Aidha Mkeyenge amesema TASAC imeweza kuimarisha usimamizi wa usalama, ulinzi na utunzaji wa mazingira dhidi ya shughuli za meli ili kupunguza matukio ya ajali za vyombo vya majini ambapo kaguzi za vyombo vya usafiri majini zilifanyika 6,208 katika mwaka wa fedha 2021/22 na kaguzi 4,490 katika kipindi cha  Julai 2022 mpaka Januari 2023 inayotarajiwa kufikia vyombo takriban 8,000 ifikapo mwezi Juni 2023.

Mkeyenge ametaja fursa zinazopatikana katika sekta ya usafiri majini ambazo zinaweza kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa wananchi ni pamoja na  kuanzisha utaratibu wa kusajili meli kwa masharti nafuu (open registry).

Ametaja fursa nyingine kuwa ni kuanzisha maeneo ya ukarabati na ujenzi wa meli katika ukanda wa pwani, kuanzisha maegesho ya boti ndogo katika ukanda wa pwani, kuanzisha viwanda vya utengenezaji malighafi za ujenzi wa boti za plastiki na kujenga bandari rasmi za uvuvi.

 TASAC ilianzishwa chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya Uwakala wa Meli Tanzania, Sura 415 na kuanza rasmi kutekeleza majukumu yake tarehe 23 Februari, 2018. Kuundwa kwa TASAC ni hatua ya kisera ya Serikali, kwa upande wa Tanzania Bara, inayokusudia kukuza sekta za usafiri majini, kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hususan kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa kuinua mchango wa usafiri kwa njia ya maji. Hii ni kwa sababu Tanzania ina ukanda mkubwa wa Bahari ya Hindi wenye urefu takriban Kilomita 1,424, Maziwa makubwa ya Victoria, Tanganyika na Nyasa

About the author

Alex Sonna