Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SLOVENIA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa Slovenia Mheshimiwa Natasa Pirc Musar  kabla ya Mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar leo tarehe 07 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Rais wa Slovenia Mheshimiwa Natasa Pirc Musar  Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar leo tarehe 07 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Rais wa Slovenia Mheshimiwa Natasa Pirc Musar mara baada ya  Mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar leo tarehe 07 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameshiriki majadiliano ya viongozi wa juu wa mataifa mbalimbali katika ajenda ya mabadiliko ya tabianchi katika Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea (LDCs) unaofanyika Doha nchini Qatar.

Akizungumza katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ametoa wito kwa mataifa kuhakikisha masuala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kudhibiti uzalishaji wa gesi joto yanajumuishwa katika mipango ya maendeleo kwa kuzingatia sekta zilizo hatarini kukabiliwa na mabadiliko ya tabianchi kama vile nishati, kilimo na maji.

– Advertisement –

Aidha amesema ni muhimu kuongeza ushirikiano wa kikanda na kimataifa katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoyakabili mataifa kwa sasa na kuwekeza katika teknolojia bunifu zinazofaa katika kushughulikia mabadiliko ya tabianchi na changamoto zinazohusiana ili kuwa na mweleko mzuri wa baadaye.

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema Tanzania inakaribisha ushirikiano katika maeneo ya kipaumbele ambayo yatasaidia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kama vile nishati ya jua na upepo, usimamizi bora wa taka pamoja na teknolojia rafiki kwa mazingira.

Awali Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ametaja athari mbalimbali zilizoikumba Tanzania kutokana na mabadiliko ya tabianchi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa kukiwa na matukio makubwa kama vile ukame na mafuriko, hali ya mvua isiyotabirika, kupanda kwa kina cha bahari na baadhi ya visiwa kuzama na kusababisha uhaba wa chakula, migogoro ya kijamii pamoja na kupanda kwa gharama za Maisha.

– Advertisement –

Ameongeza kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na hasara ya kiuchumi hadi kufikia dola milioni 33.7 katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kutokana na mafuriko.

Makamu wa Rais amesema katika kukabiliana na hali hiyo serikali inachukua hatua mbalimbali ikiwemo uchimbaji wa mabwawa kuhifadhi maji, kuhamasisha nishati safi ya kupikia, upandaji miti kila mkoa, kujenga kingo kando ya bahari kudhibiti mmomonyoko wa udongo, mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuandaa mpango kabambe wa mazingira wa mwaka 2022-2032.

Majadiliano hayo yalioshirikisha viongozi kutoka mataifa yalioendelea, wakuu wa taasisi binafsi pamoja na wakuu wa mashirika na jumuiya za kimataifa wito umetolewa wa kuunga mkono mataifa yanayoendelea kwa kufanyika mageuzi makubwa kuhakikisha urahisi wa upatitanaji fedha kufadhili miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa nchi zinazoendelea kwa kuzingatia madhara makubwa  yanayojitokeza kwa mataifa hayo yenye kiwango kidogo cha uchafuzi wa mazingira.

Katika hatua nyingine, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Slovenia Mheshimiwa Natasa Pirc Musar, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar kando ya  Mkutano wa Tano  wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea (LDCs).

Viongozi hao wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta za kimaendeleo pamoja na uhifadhi wa mazingira. Rais wa Slovenia ameikaribisha Tanzania kushirikiana katika kupata teknolojia rafiki kwa mazingira ambayo nchi hiyo imewekeza zaidi.

Mazungumzo hayo yamehudhuriwa na Waziri wa Fedha na Mipango  Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Saada Mkuya,Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi  Mbarouk N. Mbarouk pamoja na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa (New York)  Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman.

Makamu wa Rais yupo nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea (LDC5).

About the author

Alex Sonna