Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wizara Mtambuka kuhusu nishati safi ya kupikia kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 25, 2022. Kulia wake ni Waziri wa Nishati, January Makamba na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)