Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan wakati alipofika Kujitambulisha leo, Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe.Abdulla Bin ALI Alsheryan wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Picha na Ikulu