Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MAJALIWA AFUNGA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Sekta ya Madini, kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam,

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Madini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

.………………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sekta ya madini imeendelea kukua kwa kasi na kuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa ambapo hadi sasa imechangia asilimia 7.9 ya pato la taifa.
 
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Februari 23, 2022) wakati akifunga Mkutano wa Kimataifa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania wa mwaka 2022, uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
 
Amesema mchango huo umetokana na jitihada zilizofanywa na Serikali ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa madini, ushirikiano baina ya wadau pamoja na sera nzuri na mazingira rafiki yaliyowekwa na Serikali kwa wawekezaji.
 
“Kuimarika kwa utendaji pamoja na mambo mengine kumekuwa ni chachu ya mafanikio hata sasa sote tumeshuhudia kuongezeka kwa mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa hadi kufikia asilimia 7.9,” alisema Majaliwa na kuongeza:
 
“Nitoe wito kwa watendaji wote wa sekta ya madini kuongeza juhudi katika utendaji wenu ili sekta hii iweze kuimarika zaidi na hatimaye iweze kuvuka lengo la asilimia 10 ya pato la Taifa ifikapo 2025 kama ilivyobainishwa kwenye Dira ya Maendeleo ya Taifa.
 
Majaliwa amesema kuwa lengo la Serikali ni kutumia rasilimali ya madini kwa manufaa ya nchi na kuboresha uendeshaji wa shughuli za madini hapa nchini. “Ili kufikia lengo hilo, ni dhahiri kuwa ipo haja kubwa ya kujenga mazingira wezeshi ili sekta hii iweze kuimarika zaidi kwa manufaa ya nchi yetu.”
 
Amewaeleza wajumbe wa mkutano huo kuwa, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anapenda kuona sekta ya madini inakuwa nguzo muhimu ya uchumi wa nchi na ndio maana ameendelea kuipa umuhimu wa kipekee sekta hiyo kwa kutoa miongozo ambayo imeendelea kuiboresha sekta hiyo ya madini.
 
“Kipekee nimpongeze sana Rais kwa kuendelea kuhakikisha kuwa wadau wa sekta ya madini, wawekezaji na wachimbaji wadogo wanapata huduma kupitia maelekezo yake. Hii ni dhamira ya dhati ya Serikali yake ya awamu ya sita katika kukwamua na kuendeleza sekta hii.”
 
Waziri Mkuu ameipongeza Wizara ya Madini, kwa kuendelea kuandaa makongamano yanayowakutanisha wadau wa uchimbaji wa madini na Serikali, jambo ambalo limechangia kukua kwa sekta hiyo na kutoa wito kwa Wizara kuhakikisha, inaongeza jitihada na kupanua wigo wa ushirikiano baina ya wadau na Serikali.
 
Aidha, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya madini iendelee kuimarisha mifumo ya mawasiliano na wadau wa madini ili iweze kushughulikia kero zinazojitokeza na kuzitatua kwa wakati.
 
Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuboresha taasisi zilizo chini yake ili ziweze kutoa huduma nzuri zaidi kwa wachimbaji ikiwa ni pamoja na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuendelea kuongeza mitambo ya kuchorongea miamba ambayo itatoa huduma za uchorongaji miamba kwa wachimbaji wadogo kwa bei nafuu pamoja na kuimarisha masoko ya madini nchini.

About the author

Alex Sonna