Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, pamoja na familia yake, wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, leo Jumapili, Agosti 30, 2026.
.jpeg)