Featured • Kitaifa

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS DKT SAMIA RAIS WAKATI WA HAFLA YA UAPISHO WA RAIS MUSEVENI NCHINI UGANDA

Written by Alex Sonna
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwenye hafla ya Uapisho wa Rais huyo iliyofanyika katika Viwanja vya Kololo, Kampala nchini humo tarehe 12 Mei, 2026.

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni zilizofanyika katika Viwanja vya Kololo, Kampala nchini humo, tarehe 12 Mei, 2026.

About the author

Alex Sonna