marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Lisanslı Casino Siteleri

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

EWURA YATOA LESENI 18 VITUO VYA CNG

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius  Ndejembi, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo, tarehe 22 Aprili 2026, Bunge jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuimarisha usimamizi na udhibiti wa shughuli za gesi asilia katika mkondo wa kati na chini, hatua inayolenga kuhakikisha usalama wa miundombinu, upatikanaji wa huduma bora pamoja na kukuza matumizi ya nishati safi nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 22,2026 bungeni Dodoma.

Amesema katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 2026, EWURA ilifanya kaguzi 68 katika miundombinu ya gesi asilia iliyopo katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar es Salaam. Miundombinu hiyo inahusisha mitambo minne ya uchakataji, miwili ya usafirishaji, mtandao wa usambazaji wenye urefu wa kilomita 243 pamoja na vituo 18 vya kujazia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kwa magari. Taarifa zinaonesha kuwa miundombinu yote iliyokaguliwa ilikidhi viwango vya ubora vinavyotakiwa.

Katika kuendeleza sekta hiyo, EWURA ilitoa vibali tisa vya ujenzi wa vituo vya CNG katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Ruvuma. Maeneo yaliyopata vibali katika mkoa wa Dar es Salaam ni pamoja na Mbezi Beach, Mbagala, Kigamboni, Buguruni, Mwenge, Kinyerezi na Gongolamboto, huku Morogoro (Msamvu) na Ruvuma (Tunduru) kila mmoja ukipata kibali kimoja.

Aidha, vibali viwili vilitolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya kupokelea gesi asilia iliyoshindiliwa kwa matumizi ya viwanda vilivyopo Kibaha mkoani Pwani, hatua inayotarajiwa kuongeza matumizi ya nishati hiyo katika uzalishaji wa viwandani.

Katika sekta ya usafirishaji na usambazaji, EWURA ilitoa vibali saba vya ujenzi wa mabomba ya gesi asilia, ikiwemo mabomba ya kuunganisha gesi kwenye viwanda, taasisi, migahawa na majumbani, pamoja na mabomba ya kuhudumia vituo vya CNG. Kibali kingine kilihusu ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Ntorya hadi Madimba mkoani Mtwara.

Sambamba na hilo, jumla ya leseni 17 zilitolewa kwa ajili ya uendeshaji na usafirishaji wa gesi asilia, zikiwemo leseni za vituo vya CNG na usambazaji wa gesi katika mkoa wa Pwani. Ongezeko la utoaji wa vibali na leseni linaonesha mwitikio mkubwa wa sekta binafsi kushiriki katika mnyororo wa thamani wa gesi asilia.

Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji zaidi katika sekta hiyo, hasa katika mikoa ya kimkakati kama Morogoro, Dodoma, Mbeya na Tanga. Wito umetolewa kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa zilizopo, kufuatia ongezeko la matumizi ya gesi asilia katika usafiri, viwandani na matumizi ya majumbani.

Hatua hizi zinaakisi dhamira ya Serikali ya kuhakikisha gesi asilia inakuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi, huku ikichangia upatikanaji wa nishati safi, nafuu na salama kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna