marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

TANZANIA YANUFAIKA NA MIRADI YA UMEME NA MAWASILIANO KUPITIA EXIM BANK YA CHINA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akiagana na Kiongozi wa ujumbe wa Benki  ya Exim ya China ambaye ni Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo Bi. Liu Fang,  baada ya mkutano kati yao kuhusu ushirikiano wa maendeleo, uliofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

Na. Peter Haule na. Josephine Majura. WF. Dodoma

Tanzania inaendelea kunufaika na miradi mikubwa ya mikopo yenye masharti nafuu inayotolewa kupitia Benki ya Exim ya China  ikiwa ni pamoja na Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme ya Kilovolti (kV) 400 Kaskazini-Mashariki (Dar es Salaam–Arusha) na mradi Upanuzi wa Mawasiliano ya Mtandao wa Simu Vijijini (Awamu ya Kwanza).

Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) wakati wa mkutano na ujumbe wa Benki  ya Exim ya China ulioongozwa na Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang.

Mhe. Munde alisema kuwa Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme Dar es Salaam–Arusha na Uboreshaji wa Mfumo wa umeme Awamu ya Kwanza una thamani ya Dola za Marekani milioni 270.3 na Mradi wa Upanuzi wa Mawasiliano ya Mtandao wa Simu Vijijini Awamu ya Kwanza una thamani ya Dola za Marekani milioni 108.6.

“Miradi hii miwili inayoendelea yenye jumla ya thamani ya Dola za Marekani milioni 378.9, ambayo mikataba yake ilisainiwa tarehe 27 Septemba 2025, ni muhimu katika kuboresha uhakika wa upatikanaji wa umeme katika Gridi ya Taifa na kukuza ujumuishaji wa kidijitali katika maeneo ya vijijini”, alisema Mhe. Munde.

Vile vile Mhe. Munde alisema kuwa Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki ya Exim ya China kwa sasa iko katika hatua za mwisho za majadiliano kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Uanzishaji wa Vyuo vinne vya Ufundi Stadi (TVET) katika maeneo ya Zanzibar, Kigoma, Mtwara na Mwanza (Awamu ya Kwanza).

Alisema kuwa Mpango huo unatarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa elimu ya ufundi na mafunzo ya stadi za kazi nchini na hivyo kuchangia katika maendeleo ya ujuzi na ajira kwa vijana.

Pia ameitaka Benki ya Exim ya China kuangalia namna ya kusaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya mradi wa  Umeme wa kV 400 Chalinze Segera, kV 220 Segera Tanga na njia ya umeme ya Chalinze – Bagamoyo na vituo vyake na Mtandao wa Mawasiliano Vijijini Awamu ya Pili.

Aidha Mhe. Munde alifikisha salamu na shukrani kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza kuthamini ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na China.

Alitoa  shukrani  za dhati kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kutoa msaada unaoendana kwa karibu na vipaumbele vya maendeleo ya Taifa vilivyoainishwa katika Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22–2025/26) pamoja na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2025.

Kwa upande wake Kiongozi wa ujumbe wa Benki  ya Exim ya China na Naibu Meneja Mkuu, wa Benki hiyo Bi. Liu Fang alisema kuwa Benki yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika maeneo ya vipaumbele  vitakavyowezesha kuchochea maendeleo na kutimiza malengo ya Dira 2050.

Aliyataja baadhi ya maeneo yatakayozingatiwa kuwa ni pamoja na miradi ya Nishati, Miundombinu ya Usafirishaji, TEHAMA na mengine ambayo itaongeza wigo wa maendeleo na kuimarisha ushirikiano kati ya pande hizo mbili.

Bi. Fang ameipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika maendeleo ya uchumi kwa kuwa si tu amesoma katika taarifa mbalimbali lakini pia ameshuhudia kaika ziara yake inayoendelea nchini Tanzania.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akiagana na Kiongozi wa ujumbe wa Benki  ya Exim ya China ambaye ni Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo Bi. Liu Fang,  baada ya mkutano kati yao kuhusu ushirikiano wa maendeleo, uliofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akieleza umuhimu wa ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya Exim ya China katika kufanikisha maendeleo ya pande hizo mbili, wakati wa mkutano na Ujumbe wa Benki hiyo  ukiongozwa na Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo Bi. Liu Fang, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

Kiongozi wa Ujumbe wa Benki  ya Exim ya China ambaye ni Naibu Meneja Mkuu, wa Benki hiyo Bi. Liu Fang  akitoa ahadi ya kuendeleza ushirikiano na Tanzania ili kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo wakati wa Mkutano na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

Ujumbe wa Wizara ya Fedha ukiwa katika mkutano kati ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) na Ujumbe wa Benki  ya Exim ya China ukiongozwa na Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang,  kuhusu ushirikiano wa maendeleo, uliofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma

Ujumbe wa Benki ya Exim ya China ukiongozwa na Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang, ukiwa katika mkutano na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), kuhusu ushirikiano wa maendeleo, uliofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akiongoza mkutano kati yake na Ujumbe wa Benki ya Exim ya China ukiongozwa na Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang, katika Ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akimkabidhi zawadi  Kiongozi wa Ujumbe wa Benki ya Exim ya China ambaye ni  Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang, baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao kuhusu ushirikiano wa maendeleo, katika Ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) na Kiongozi wa Ujumbe wa  Benki ya Exim ya China ambaye ni Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Liu Fang wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa pande hizo mbili, baada ya mkutano kuhusu ushirikiano wa maendeleo, uliofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)

About the author

Alex Sonna