marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NM-AIST

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,akizungumza mara baada ya   kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184 katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

…..

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuridhishwa na hatua ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), kufuatia ziara ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, iliyofanyika jana katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Katika ziara hiyo, Naibu Waziri alikagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184, mradi unaolenga kuongeza ushiriki wa wanawake na watu wenye ulemavu katika elimu ya juu, hususan katika fani za sayansi, teknolojia na ubunifu ambazo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa.

Aidha, Mhe. Wanu alipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Samia Scholarship Extended (DS/AI+), unaodhamini wanafunzi 50 wanaosoma fani za Sayansi ya Takwimu, Akili unde  (Artificial Intelligence—AI) na Sayansi Shirikishi. Mpango huo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuandaa rasilimali watu wenye ujuzi wa kisasa unaokidhi mahitaji ya soko la ajira sambamba na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mhe. Naibu Waziri aliipongeza NM-AIST kwa usimamizi mzuri na hatua iliyofikiwa katika kutekeleza miradi hiyo, akisisitiza kuwa miradi hiyo ni muhimu katika kuimarisha elimu ya juu, kukuza utafiti na kuandaa wataalamu watakaoharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.

Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula, alisema awamu ya kwanza ya ujenzi wa mabweni imefikia asilimia 80 na inatarajiwa kukamilika Februari 2026.

Kukamilika kwa mradi huo kunatarajiwa kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuishi kwa wanafunzi wa kike na kuongeza motisha kwao kushiriki kikamilifu katika masomo ya sayansi na teknolojia.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (katikati) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula,(kulia) akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bweno katika taasisi hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184 katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,akizungumza mara baada ya   kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184 katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula,akizungumza mara baada ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir kufanya ziara katika taasisi hiyo  ya  kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184 katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Sehemu ya wanafunzi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (hayupo pichani),akizungumza baada ya   kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla ya vyumba 184 katika Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

About the author

Alex Sonna