marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet Güncel Adres

vdcasino

betvole

Featured Kitaifa

SERIKALI YAHIMIZA UBORA WA KAKAO NA UONGEZAJI THAMANI KULINDA SOKO LA KIMATAIFA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase,akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi.

….

Serikali imewataka wakulima nchini kuhakikisha wanapeleka kakao yenye ubora sokoni ili kulinda bei nzuri inayoendelea kupatikana kwa sasa.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase, akizungumza kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi (Mb), wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo, .

 DC Manase amesisitiza kuwa kuingiza kakao isiyo na viwango katika masoko kutasababisha bei kuporomoka, jambo ambalo litawaathiri wakulima kiuchumi. Amesema kuwa uaminifu wa mkulima katika kuzingatia vigezo vilivyowekwa ndiyo njia pekee ya kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa na ushindani na kupata masoko yenye tija ndani na nje ya nchi.

Aidha, DC Manase amewahimiza wakulima wa Kyela kuendelea kupanda miti kama mbinu madhubuti ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na kulinda mazingira ya kijani. Amebainisha kuwa utunzaji wa mazingira ni kigezo muhimu kinachowezesha mazao ya wakulima kukubalika katika ngazi ya kimataifa, huku akisisitiza kuwa juhudi hizo pia zinasaidia wakulima kupata uaminifu wa kibenki na huduma nyingine za kifedha.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, ameeleza umuhimu wa utaratibu wa kukagua mizigo ghalani kabla ya kuifikisha mnadani. Akifafanua kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuhakikisha kile kinachouzwa kinafahamika kwa usahihi, jambo linalosaidia kuondoa migogoro kati ya wanunuzi na wauzaji.

Vilevile, amesema utaratibu huo wa ukaguzi umeleta matokeo chanya kwani hivi sasa hakuna malalamiko yanayotolewa na pande zote mbili katika mnyororo wa biashara.

Naye Naibu Msajili wa Udhibiti wa Vyama vya Ushirika, Bw. Collins Nyakunga, ameeleza kuwa vipaumbele vya sasa vya ushirika ni kuwekeza katika ujenzi wa viwanda ili kuongeza thamani ya mazao, hatua inayolenga kubadilisha taswira ya vyama vya ushirika ili viweze kutoa mchango mkubwa zaidi kwa wakulima kwa kuhakikisha wanapata faida kubwa kutokana na kazi yao.

Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase,akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu,akielezea umuhimu wa utaratibu wa kukagua mizigo ghalani kabla ya kuifikisha mnadani wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase, kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi.

Naibu Msajili wa Udhibiti wa Vyama vya Ushirika, Bw. Collins Nyakunga,akielezea  vipaumbele vya sasa vya ushirika ni kuwekeza katika ujenzi wa viwanda ili kuongeza thamani ya mazao, wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase, kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua uendeshaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) wilayani humo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi.

About the author

Alex Sonna