Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

THBUB YAWATAHADHARISHA WAANDISHI JUU YA MATUMIZI MABAYA YA MAJUKWAA YA HABARI

Written by mzalendo

Na Gideon Gregory, Dodoma

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), inatoa wito kwa Waandishi wa Habari kuchukua tahadhari dhidi ya matumizi mabaya ya majukwaa ya habari ikiwemo mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vijikite katika kuimarisha amani, utulivu na demokrasia nchini kwa kutotumika vibaya kalamu zao.

‎Wito huo umetolewa leo Septemba 17,2025 katika Ukumbi wa Hotel ya Mesuma Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu wakati akifungua mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya utawala bora katika mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025.

‎”Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Waandishi wa Habari wanao wajibu wa kuripoti matukio yote ya uchaguzi kwa usahihi bila upendeleo wowote wa Chama, Mgombea au msimamo wowote wa Kisiasa na kuweka uwiano sawia wa taarifa kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi”, amesema.

Aidha, amewataka waandishi wa habari, kutumia mbinu madhubuti kwenye majukwaa ya kidigitali na vyombo vingine vya Habari ili kuepusha upotoshaji wa taarifa binafsi au kusema uongo juu ya Mgombea.

Mbali na hayo, Jaji mstaafu, Mathew Mwaimu, ametoa rai kwa Waandishi wa Habari, kuepuka kuchapisha au kutangaza habari zenye nia ya kuchochea vurugu, ubaguzi, chuki za Kisiasa kikabila, kidini na kijinsia.

‎”Nitoe wito kwa Waandishi wa Habari, kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii, na vyombo vya Habari vijikite katika kuimarisha amani, utulivu na demokrasia nchini,”amesema.

Amesema mafunzo hayo yatawasaidia waandishi wa habari kutekeleza wajibu wao kwa kuzingatia Sheria na Kanuni zilizowekwa ili kuepukama ma migongano baina ya vyombo vya dola na waandishi wa habari wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

“Pia mafunzo haya yataongeza uelewa kwa waandishi wa habari kuhusu haki na wajibu wao wakati Wanapotekeleza majukumu yao katika kipindi chote cha uchaguzi hii itasaidia kuwepo na uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari,”amesema.

‎Kwa Upande wake Katibu Mkuu wa Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma (DPC), Blaya Moses, amewataka waandishi wa Habari kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na kanuni na miongozo ya kiuandishi ili kujiepusha na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza.

About the author

mzalendo