Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

gameofbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

GRUMETI FUND YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA VIJANA WA KIKE NA KIUME WILAYANI SERENGETI

Written by Alex Sonna
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imeendelea kuwa msaada kwa ukuaji kifkra kwa vijana wa kike na kiume Wilayani Serengeti kwa kuwaleta pamoja wanafunzi wa kike zaidi ya 900 na wakiume 810 kutoka katika shule za sekondari Mugumu na Sedeko zilizopo wilayani Serengeti ili kujadili namna bora ya kujenga jamii yenye ushirikiano wa pamoja kati ya vijana wa kike na kiume na hatimae kujenga jamii yenye usawa miongoni mwa vijana wa jinsia zote.
 
Akizungumza katika kongamano lililofanyika kwa siku mbili katika shule ya sekondari Mugumu na kuwakutanisha wanafunzi wa kike na kiume kutoka shule za sekondari Mugumu na Sedeko, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Grumeti Fund Bi. Frida Mollel kwa nyakati tofauti amewataka vijana wa kike na wa kiume kutambua majukumu yao na nafasi zao katika jamii sambamba kuweka kipaumbele kwenye mambo ya msingi nafasi na kuacha kushughulika na mambo yasiyo ya msingi.

 
“Tuachane na mambo yasiyofaa ili tuweze kuyapa nafasi mambo ya msingi kuweza kuchukua nafasi katika vichwa vyetu, tunakosea kushughulika na mambo yasiyo na maana na tukayaacha yale yenye msaada kwetu kwa kuiga baadhi ya vitu ambavyo sio utamaduni wetu kwa hali hii hatutafika popote labda Mungu aingilie kati, Niwatie moyo sasa kuwa bado hamjachelewa bado mnayonafasi ya kubadilika na kuwa vijana wenye kutegemewa na familia zenu kama mkimtanguliza Mungu na ndio maana sisi Grumeti Fund kwa kutambua umuhimu wenu tumekuja kuwatia moyo kuwa unaweza kuwa mtu yeyote endapo utajitambua na kusoma kwa bidii na kumtanguliza Mungu katika kila jambo, tambueni kuwa mkisoma kwa bidii na kupata maarifa na ujuzi ndivyo vitu vitakavyokuokoa katika dunia hii”, alisema Bi. Frida
 
Aidha, Bi. Frida ametoa msisitizo kwa vijana hao kuwa mstari wa mbele katika kukataa na kupinga mila na desturi za kigeni zinazoenda kinyume na maadili na chukizo kwa Mungu kwa kuwa na msimamo na maamuzi kwani ndio msingi wa kutotumbukia katika vishawishi vya dunia ya utandawazi.
 
Katika kongamano hilo shirika la Grumeti Fund imetoa Mipira na jezi za michezo Kwa shule zote mbili zilizoshiriki kwa wanafunzi wa kiume na kutoa msaada wa taulo za kike zinazoweza kutumika kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu (reusable pads) kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 900 zenye thamani ya Shilingi 15,810,000 katika shule za sekondari Mugumu na Sedeko.

 

Naye mgeni rasmi katika makongamano hayo Mchungaji anayehudumia idara ya vijana katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Emmanuel Samuel Sitta kutoka mkoani Mwanza amewataka vijana hao wa kiume na wakike kujitambua na kutambua thamani yao sambamba na kuweka dira ya maisha yao mbele ili kuepuka changamoto za kimaisha huko baadae, huku akiwataka kumfanya Mungu kuwa mtatuzi wa changamoto zao na kuepuka ushawishi.
 
“Mfanye Mungu kuwa mtetezi wako katika kila jambo gumu lililokosa majibu, niwaambie kuwa ukimcha Mungu utaepuka mambo mengi mabaya, hata sisi tulivyo hivi ni kwasababu tuliwekeza katika kumcha Mungu na bado tunamtegemea yeye hadi sasa, bila Mungu dunia na tamaa zake zitakumeza. Ili kufanikiwa katika masomo yako jitahidi sana kuwa na hofu ya Mungu pamoja na kuwekeza katika masomo yenu. Jiepusheni na marafiki wabaya na mambo yasiyo na tija”, alisema Mchungaji Emmanuel.
 
Kwa upande wake mkufunzi kutoka chuo cha Afya Kisare Mwl. Restuda Murutta akitoa Elimu ya uzazi kwa wanafunzi wa kike amewaasa kuzingatia usafi wawapo katika siku za hedhi na kuwataka kuzitumia taulo za kike zilizotolewa na Grumeti Fund kwa usahihi sambamba na kuepuka vishawishi vitakavyo waingiza katika kufanya mapenzi katika umri mdogo na mwisho kupelekea ndoa za utotoni.
 
“Usafi wakati wa hedhi ni muhimu sana kwani utaepuka magonjwa mbalimbali, lakini pia inasikitisha binti anaumri chini ya miaka 18 ameshaanza kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono kitu ambacho sio salama, kabla ya kuingia kwenye mambo hayo kwanza jiulize je ni umri sahihi wa kuingia kwenye mambo hayo ukishapata jibu acha”, alisema Bi. Restuda
 
Nao miongoni mwa wanafunzi wa kike na kiume waliopata mafunzo wameishukuru kampuni ya Grumeti Fund kwa namna wanavyowajali na kuwathamini vijana wa kike na kiume katika kujenga jamii bora yenye usawa na kuahidi kuyaweka katika vitendo mafunzo hayo na kusambaza elimu kwa wengine.
 
Kwa takribani miaka nane kampuni ya Grumeti Fund imekuwa ikitoa elimu ya kijinsia kwa wanafunzi wa kike na kiume katika shule za sekondari mbalimbali Wilayani Serengeti na Bunda ambapo tangu mwaka 2017 hadi awamu hii ya pili ya kongamano hili kwa Mwaka 2025 imefanikiwa kutoa elimu ya kijinsia kwa wasichana 17, 303 na kutoa jumla ya taulo 17,303 kwa kila binti anayeshiriki mafunzo hayo, huku ikifanikiwa kutoa mafunzo kwa wavulana zaidi ya 8,850 tangu mwaka 2021 hadi awamu hii ya pili ya kongamano la Mwaka 2025 na kutoa zawadi za jezi na mipira kwa kila shule iliyoshiriki kwenye kongamano.


 

About the author

Alex Sonna