Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

THBUB YAITAKA SERIKALI NA WAAJIRI NCHINI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA BORA YA KAZI

Written by mzalendo

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeitaka serikali na waajiri wote nchini kuendelea kuweka mazingira bora ya kazi na kusimamia maslahi ya wafanyakazi kwa mjibu wa katiba na sheria za Ajira ili kujenga mazingira rafiki kwa wafanyakazi kufurahia haki zao za kufanyakazi ili kuleta tija na ufanisi katika utendaji wao.

Rai hiyo imetolewa leo Aprili 30,2025 jijini hapa Dodoma na Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji mstaafu Mhe.Mathew Mwaimu wakati akitoa Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei 1,2025.

Mwaimu amesema maadhimisho hayo yanalenga katika kutambua mchango wa wafanyakazi duniani kote katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

“Tarehe 1 Mei kila mwaka ni siku ya kimataifa maadhimisho ya wafanyakazi Duniani na maadhimisho haya yanalenga katika kutambua mchango wa wafanyakazi Duniani kote katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

“Nitoe rai kwa serikali na waajiri wote nchini kuendelea kuweka mazingira bora ya kazi na kusimamia vyema maslahi ya wafanya kazi kwa mjibu wa katiba na sheria za Ajira ilikujenga mazingira rafiki kwa wafanyakazi kufurahia haki yao ya kufanya kazi na pia kuleta tija na ufanisi katika utendaji,”amesema.

Aidha maadhimisho ya Mei mosi mwaka 2025 yanaenda sambamba na kaulimbiu isemayo “Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali Haki na maslahi ya wafanyakazi,sote tushiriki”ambapo Mhe.Mwaimu amesema kaulimbiu hiyo inawahamasisha wafanyakazi kujitokeza kushiriki uchaguzi huo ili kuhakikisha kwamba pamoja na wananchi wengine wanashiriki kikamilifu kuwachagua viongozi wenyekusimamia na kulinda haki za binadamu.

Ameongeza kuwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ( THBUB) inawakumbusha wafanyakazi kuwa upatikanaji wa viongozi waadilifu utapunguza malalamiko ya wafanyakazi hususani katika masuala yanayohusu maslahi yao binafsi.

“Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mwaka 2025 nchini yanaongozwa na kaulimbiu isemayo uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojaki haki na maslahi ya wafanyakazi,sote tushiriki kaulimbiu hii inawahamasisha wafanyakazi kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mkuu utakao fanyika mwaka huu 2025,”amesema.

Vile vile amesema Tume hiyo inatambua na kupongeza juhudi za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kuhakikisha nchi inapata viongozi waadilifu,wasiyo na ubaguzi,wenye uzalendo,wanaozingatia haki za Binadamu na misingi ya utawala bora katika utekelezaji wa majukumu yao ili.kuendelea kujenga Taifa lenye amani na utulivu.

About the author

mzalendo