Featured Kitaifa

KIKUNDI CHA TEAM MARCH CHATOA VIFAA KWA WATOTO NJITI NA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Kikundi cha watu waliozaliwa mwezi wa tatu, ‘Team March’, kilichopo Manispaa ya Shinyanga, kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Wanakikundi hao wametoa msaada huo leo Aprili 1, 2025, wakiongozwa na Mwenyekiti wa ‘Team March’, Dkt. Yustina Tizeba, ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali hiyo.

Dkt. Tizeba amesema kuwa vifaa hivyo vitasaidia watoto njiti, lakini pia vifaa vingine vitahusiana na mradi wa ushonaji waliouanzisha katika hospitali hiyo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kijasiriamali akina mama waliojifungua watoto njiti wakati watoto wao wanaendelea kupatiwa huduma za kiafya hospitalini.

“Team March tumeanzisha mradi wa ushonaji wa kofia, masweta, soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti. Tunataka kuwawezesha akina mama hawa kwa kuwapa ujuzi wa ushonaji ili waweze kujiinua kiuchumi, huku wakiendelea kutunza watoto wao hospitalini,” amesema Dkt. Tizeba.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila, amepokea msaada huo na kuwashukuru wanakikundi kwa kujitolea kuokoa maisha ya watoto njiti.

“Tunaipongeza ‘Team March’ kwa juhudi zao kubwa za kusaidia watoto njiti. Mmeacha alama kubwa katika hospitali hii. Tunawashukuru kwa namna mnavyoguswa na afya za Watanzania na tunawaomba wadau wengine waendelee kutembelea hospitali hii na kusaidia changamoto zinazojitokeza,” amesema Dkt. Luzila.Mwenyekiti wa ‘Team March’, Dkt. Yustina Tizeba, ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo vilivyotolewa na Team March.
Picha na Na Kadama Malunde – Malunde 1 blogMwenyekiti wa ‘Team March’, Dkt. Yustina Tizeba, ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila (kushoto) vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo vilivyotolewa na Team March

Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo
Sehemu ya vifaa kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila, akizungumza wakati akipokea msaada wa vifaa kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti na kuwashukuru wanakikundi wa Team March kwa kujitolea kuokoa maisha ya watoto njiti.
Picha ya kumbukumbu
Kikundi cha watu waliozaliwa mwezi wa tatu, ‘Team March’, kilichopo Manispaa ya Shinyanga wakitembelea Chumba maalum cha kuhudumia watoto njiti (Pre – Mature) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga

Keki maalumu ya Kikundi cha watu waliozaliwa mwezi wa tatu, ‘Team March’, kilichopo Manispaa ya Shinyanga 
Keki maalumu ya Kikundi cha watu waliozaliwa mwezi wa tatu, ‘Team March’, kilichopo Manispaa ya Shinyanga 
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea
Zoezi la kulishana keki likiendelea

About the author

Alex Sonna

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet