marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

celtabet giriş

Featured Kitaifa

PPAA MGUU SAWA KURASIMISHA MATUMIZI YA MODULI KANDA YA ZIWA

Written by mzalendo

Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya kuwasilisha na kushughulikia rufaa na malalamiko kwa njia ya kielektroniki katika Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) tarehe 4 – 6 Februari, 2025 Jijini Mwanza.

Rai hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipozungumza na waandishi wa Habari katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma na kuongeza kuwa mafunzo hayo yatakayoambatana na tamko rasmi la kuanza kwa matumizi ya moduli hiyo.

Bw. Sando amesema kuwa, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imekamilisha moduli ya kuwasilisha na kushughulikia rufaa na malalamiko kwa njia ya kielektroniki (Complaint and Appeal Management Module) katika Mfumo wa NeST.

“Mafunzo ya matumizi ya moduli kwa Kanda ya Ziwa yanawalenga wazabuni na watendaji wa taasisi nunuzi wa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Kagera, Musoma, Geita na Simiyu. Mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 4 – 6 Februari, 2025 Jijini Mwanza katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) uliopo Capripoint,” alisema Bw. Sando

Pamoja na mambo mengine, Bw. Sando ameongeza kuwa mafunzo kuhusu matumizi ya moduli ya kuwasilisha na kushughulikia rufaa na malalamiko kwa njia ya kielektroniki katika Mfumo NeST yataendelea kwa kanda nyingine za kaskazini, kati, nyanda za juu kusini pamoja kusini.

Aidha, Bw. Sando ametoa wito kwa wadau wa kanda nyingine ambazo hazijapatiwa mafunzo kujiandaa kwani watafikiwa na kupatiwa mafunzo kuhusu matumizi ya Moduli hivi karibuni.

Awali malalamiko na rufaa zilikuwa zinawasilishwa na mzabuni kufika katika Ofisi za PPAA Jijini Dodoma. Aidha, kutokana na mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023 kuweka sharti la lazima la kufanya ununuzi wa umma kieletroniki, PPAA kwa kushirikiana na PPRA imejenga moduli itakayotumika kuwasilisha malalamiko na rufaa kieletroniki bila kuwa na ulazima wa kufika katika ofisi za PPAA.

Mei 28 – 29, 2024 Mafunzo ya matumizi ya moduli ya uwasilishaji wa malalamiko/rufaa kwa njia ya kieletroniki yaliandaliwa na PPAA kwa mikoa ya Dar es Salaam, Tanga Morogoro na Pwani.

About the author

mzalendo