Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE AMJIBU  MHE.FREEMAN MBOWE 

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene  akizungumza na wanufaika wa TASAF katika Kijiji cha Kinyakaya kilichopo katika   Mkoa wa  Singida.

Na Lusungu Helela – SINGIDA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na  hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa watu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kuwagawia fedha.

Mhe. Simbachawene ameyasema hayo  leo mara baada ya kukagua miradi mbalimbali  ya maendeleo iliyotekelezwa kupitia  TASAF Mkoani Singida ambapo amesema TASAF ni mpango mmojawapo wa uwezeshaji wananchi  kiuchumi lakini Serikali ina mipango lukuki.

Jana (juzi)  nilikuwa nasikiliza  ule Mkutano wa Uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  nilimsikia Mhe. Mbowe wakati akitoa taarifa ya Chama hicho kuwa  “Serikali ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) inataka kuondoa umaskini wa watu kupitia TASAF kwa kuwagawia fedha”

“Ni kweli  Serikali ya CCM inataka kuondoa umaskini wa watu wake hasa wale wasiojiweza kabisa kwa kuwasaidia kifedha lakini pia Serikali hii inatumia mfuko wa TASAF kuondoa changamoto zinazogusa maisha ya wananchi moja kwa moja  kwa kwenda kurekebisha miundombinu pamoja na vikwazo katika maisha yao ikiwemo ujenzi  wa vivuko ili waweze kwenda mashambani kwa urahisi hususan wakati wa msimu wa mvua”  amesisitiza Mhe. Simbachawene

Pia, Mhe. Simbachawene amesema Serikali kupitia  TASAF imekuwa ikijenga vituo vya afya mahali ambako kuna zahanati zisizokidhi mahitaji ya wananchi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya lengo likiwa ni kupambana na umaskini

“Nataka nimwambie Kaka yangu Mbowe kwamba  TASAF ni mpango mmojawapo wa kuwezesha wananchi wetu kiuchumi lakini Serikali yetu ina mipango mingi sana  na tunayo Sera ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi” amesisitiza Mhe. Simbachawene

Amesema Serikali ina  Mfuko wa uwezeshaji wa wananchi kiuchumi ambapo kuna njia mbalimbali za kuwagusa kiuchumi ikiwemo  vijana na makundi mbalimbali lengo likiwa ni kupambana na umasikini na kuwapa ahueni katika hali zao za maisha

Ameongeza kuwa “Tuna mpango wa kuwawezesha kiuchumi kwa kutoa mikopo kwa  Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu ambapo asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri hupelekwa kwa ajili ya kukopesha makundi hayo.

Mbali na mipango hiyo Mhe. Simbachawene ameitaja mipango mingine ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kuwa ni  utoaji  ruzuku kwenye  pembejeo za kilimo, utoaji wa mikopo ya elimu ya juu,  ujenzi wa Shule za Sekondari kila Kata pamoja  na Shule za Msingi kila Kijiji, utoaji wa mikopo ya Elimu ya juu pamoja na matibabu bure kwa wazee.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene  akizungumza na wanufaika wa TASAF katika Kijiji cha Kinyakaya kilichopo katika   Mkoa wa  Singida.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akikagua Mradi wa upandaji  miti kupitia TASAF uliotekelezwa katika Kijiji cha Kinyakaya kilichopo katika   Mkoa wa  Singida.

Baadhi ya Wanufaika wa TASAF wakimsikiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene wakati akizungumza nao katika Kijiji cha Kinyakaya kilichopo katika   Mkoa wa  Singida.

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe akizungumza na walengwa  wa TASAF katika  Kijiji cha Kinyakaya kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na walengwa hao Mkoani Singida.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Singida  Mhe. Godwin Gondwe mara baada ya kuwasili Mkoani Singida kwa ajili ya ziara ya kikazi 

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiagana na wanufaika wa mpango wa kuondoa umasikini mara baada ya kuzungumza  nao katika Kijiji cha Kinyakaya kilichopo katika Mkoa wa  Singida

About the author

Alex Sonna