Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YAHAMASISHA UTUMIAJI WA HUDUMA ZA FEDHA VIJIJINI

Written by Alex Sonna

Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kusimamia mapato na matumizi, wakati timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Na Saidina Msangi, WF, Karatu, Arusha. 

Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili kuwawezesha wananchi katika maeneo ya vijijini kuwa na uelewa wa elimu ya fedha pamoja na kuwa na matumizi sahihi ya fedha na kuweka akiba.

Hayo yamebainishwa na Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, wakati Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Bw. Kibakaya alieleza kuwa mfumo wa filamu unaotumiwa kutoa elimu ya fedha umewavutia wananchi kwa kuwa umekuwa mfumo rahisi utakaowawezesha kukumbuka kwa urahisi mafunzo waliyopata ya elimu ya fedha.

‘‘Kumekuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi kuhudhuria mafunzo ya elimu ya fedha inayotolewa kwa njia ya filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo uwekaji akiba, bima, utunzaji wa fedha na mada ya masuala ya uwekezaji wa masuala ya kifedha,’’ alieleza Bw. Kibaya.

Alisema kuwa Serikali iliona kuwa ni muhimu kuwapatia wananchi elimu ya fedha ili kuwawezesha kuwa na uelewa wa elimu ya fedha ikiwa ni pamoja na kuzingatia matumizi sahihi ikiwemo kutumia vema mikopo inayotolewa na Serikali kuwawezesha wananchi kiuchumi.

Bw. Kibakaya alifafanua kuwa elimu hiyo ya fedha italeta mabadiliko kwa wananchi hasa ikizingatiwa kuwa njia ya uwasilishaji kwa filamu itabaki kuwa kumbukumbu ya muda mrefu hivyo kuendelea kujenga mabadiliko ya usimamizi wa fedha binafsi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji cha Endabash, Bw. Boisa Mandoo, aliishukuru Serikali kwa kuwawezesha kupata elimu ya fedha katika maeneo yao ambayo itawasaidia katika kusimamia matumizi ya fedha pamoja na kutumia huduma za fedha zinazotolewa na watoa huduma waliosajiliwa kwa mujibu wa sheria.

‘’Naipongeza Serikali ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea wataalamu kuja kutoa elimu ya fedha kwa wananchi na sisi kama Serikali tutaendelea kuzihamasisha taasisi za fedha ambazo hazijasajiliwa ziweze kusajiliwa ili wananchi waweze kupata huduma katika taasisi rasmi’’, alisema Bw. Mandoo.

Program ya kutoa elimu kwa Umma ni utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Maendeleo Sekta ya Fedha 2020/21 – 2029/30 ambapo unalenga kufikia wananchi asimia 80 hadi kufikia mwaka 2025/26 pamoja na utekelezaji wa Programu ya Elimu ya Fedha kwa Umma ya mwaka 2020/21 – 2025/26. 

Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kusimamia mapato na matumizi, wakati timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Mwenyekiti wa Kijiji cha Endabash, Bw. Boisa Mandoo, akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho, wakati wa kuikaribisha Timu ya Wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Baadhi ya wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji wa Tarafa ya Endabash, wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu, wakati Timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonga, akitoa elimu ya fedha kuhusu umuhimu wa kutumia taasisi za fedha zilizosajiliwa kwa wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji wa Tarafa ya Endabash, wakati Timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa  huduma za fedha vijijini, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Karatu, Bw. Edgar Ninga, akitoa ufafanuzi kuhusu mikopo inayotolewa na Benki hiyo, wakati Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini kwa wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji wa Tarafa ya Endabash, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

Afisa Uandikishaji Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wilaya ya Karatu, Bi. Prisca Damiano, akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kujiunga na Mfuko huo pamoja na mafao yanayotolewa, wakati Timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini kwa wakulima, waendesha bodaboda na wafugaji wa Tarafa ya Endabash, katika ukumbi wa mikutano wa Tarafa ya Endabash, Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. 

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF- Karatu, Arusha)

About the author

Alex Sonna