Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

grandpashabet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

KAFULILA ATANGAZA MAGEUZI MAKUBWA VIVUKO, KARAKANA ZA SERIKALI

Written by Alex Sonna
 TEMESA kushirikiana na sekta binafsi kwenye uendeshaji wa karakana, vivuko na ukodishaji wa mitambo

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam

Wakala wa Ufundi na Umeme wa Tanzania (TEMESA) imepanga kuendesha vivuko, karakana na mitambo ya kukodishwa kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, ubunifu, ujuzi na teknolojia mpya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema kuwa utekelezaji wa miradi ya taasisi za umma kwa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi umeibuka kuwa njia sahihi na muhimu inayosaidia uanzishaji au utekelekezaji wa miradi ya taasisi za umma. 

“Kwa siku za hivi karibuni, idadi ya taasisi za Umma zinanzovutiwa kutekeleza miradi yake ya maendeleo kwa njia ya ubia kati ya setka ya umma na binafsi, imekuwa ikiongezeka jinsi muda unavyozidi kwenda,” Kafulila amesema.

Sasa ni zamu ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). 

Wakala huu umetangaza fursa adhimu kwa wawekezaji binafsi wa ndani nan je ya nchi kuonyesha nia ya kuwekeza, kuboresha na kuendesha karakana zake kupitia njia ya Ubia. 

Kama invyofahamika na kwa mujibu wa sheria iliyoianzisha wakala huu, TEMESA ina jukumu la kufanya matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo ya Serikali katika karakana ambazo zipo kila mkoa. 

Vile vile, inafanya shughuli za uendeshaji wa vivuko vya Serikali na kukodisha mitambo kwa wadau wanaofanya shughuli za ujenzi wa miundombinu. 

TEMESA inasimamia mtandao wa karakana 30 katika mikoa 26 nchini, ambazo kwa wastani zinahudumia magari takriban 29,263 kwa mwaka. 

Pia, TEMESA inakarabati na kuhudumia magari ya serikali yapatayo 9,183, pikipiki 12,778 na vifaa au mitambo 433. Aidha, TEMESA inaendesha vivuko 32 katika mikoa 12 na maeneo ya kuvuka 22 kote nchini. 

Takriban abiria 79,863 na magari 3,696 hupita katika vivuko hivi kila siku. Serikali inajenga vivuko vipya nane ambapo vitano vitafanya kazi katika Ziwa Victoria na vitatu katika Bahari ya Hindi. 

“Fursa nyingine za uwekezaji zilizopo kwenye vivuko hivi ni pamoja na ardhi, majengo na miundombinu muhimu kama sehemu za kusubiria abiria, migahawa, ofisi na mifumo mbalimbali,” amesema Kafulila.

Pia, Wakala unamiliki mitambo ya aina mbalimbali 41 kwa ajili ya kukodisha kwa wateja kwenye sekta za umma na binafsi. 

Katika nia za kuimarisha ufanisi na ubora, TEMESA imedhamiria kuendesha karakana zake kumi na tatu (13) kwa njia ya ubia. Karakana hizi ziko katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Shinyanga, Kagera, Singida, Iringa, na Mara. Nyingine zipo katika mikoa ya Manyara, Pwani, Lindi, Ruvuma, Njombe, na Simiyu. 

Vile vile, wakala unakusudia kuendesha huduma zote za vivuko nchini kupitia kwa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). 

Mwekezaji ataruhusiwa kukodisha huduma za kivuko chote, kuunda kampuni ya ubia na TEMESA, au kuendesha vivuko vyake sambamba na vivuko vya TEMESA. 

Aidha, wakala unakusudia kumshirikisha mwekezaji binafsi katika kutoa huduma za ukodishaji wa vifaa kwa njia ya ubia kati ya TEMESA na mwekezaji. 

Hatua hii ya kimapinduzi ya TEMESA inaungwa mkono kikamilifu na mfumo wa kisheria wa utekelezaji wa miradi kwa njia ya ubia, ambapo Kanuni za 36 (b) & (d) za Kanuni za Ubia kati ya sekta ya umma na binafsi za mwaka 2020 kama zilivyorekebishwa mwaka 2023, zinairuhusu TEMESA kuwaalika wawekezaji katika utekelezaji wa miradi yake kwa njia ya ubia. 

“Mpango wa TEMESA wa kuboresha karakana zake, vivuko na kutoa huduma ya ukodishaji mitambo kwa njia ya Ubia unatoa matumaini ya kukidhi mahitaji makubwa ya huduma hizi yaliyopo kwenye soko,” amesema.

Ushirikishwaji wa wawekezaji utaleta manufaa mengi ikiwepo kuvutia teknolojia za kisasa, kuchochea ufanisi wa uendeshaji wa karakana na vivuko pamoja na kuboresha ubora wa huduma za Wakala kwa ujumla wake. 

Kituo cha Ubia kati ya sekta ya umma na binafsi, chini ya uongozi mahiri wa Mkurugenzi Mtendaji wake, David Kafulila, kimekuwa ni kiungo muhimu katika kusaidia taasisi za Umma kubuni miradi inayofaa kutekelezwa kwa njia ya ubia. 

Tangu Kituo cha Ubia kilipoanzishwa rasmi mapema mwaka huu, nchi imeshuhudia mabadiliko makubwa kwenye uratibu wa miradi kwa njia ya Ubia. 

“Mageuzi makubwa yatazidi kutokea katika miradi ya ubia baada tu ya Kituo kufikia adhma yake ya kutoa huduma zote za ubia ndani ya Kituo (one-stop centre),” amesema Kafulila.

About the author

Alex Sonna