Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

holiganbet güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

holiganbet

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

holiganbet giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

matbet

deneme bonusu

sekabet

jojobet

holiganbet

casinomilyon

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

MAVUNDE AZITAKA BENKI KUIUNGA MKONO BENKI YA CRDB KUWAKOPESHA WACHIMBA MADINI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony (mwenye tai nyekundu kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10 kwa baadhi ya wachimbaji wa Kanda ya Ziwa itakayotumika kuimarisha shughuli zao kwenye maeneo tofauti wanakotoka.
 
Na Mwandishi wetu-  Kahama
 
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ameipongeza Benki ya CRDB kwa kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wachimbaji wakiwamo wadogo na kuyataka mabenki na taasisi nyingine za fedha kuiga mfano huo.

Mheshimiwa Waziri Mavunde ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Agosti 19,2024 mjini Kahama alipokabidhiwa ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa utoaji huduma za fedha kwa wachimbaji wadogo na wa kati kutokana na maelekezo aliyoyatoa mwaka 2023 alipokutana na Wachimbaji wa madini, viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya CRDB na wadau mbalimbali wa sekta ya madini.
 
Katika hafla hiyo Mheshimiwa Waziri Mavunde pia amekabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10 kwa baadhi ya wachimbaji wa Kanda ya Ziwa itakayotumika kuimarisha shughuli zao kwenye maeneo tofauti wanakotoka.
 
“Wachimbaji wadogo ni jeshi kubwa kwenye sekta ya madini nchini lakini lenye changamoto ya mtaji. Iwapo benki zetu za ndani zitawapa kipaumbele watu hawa kama mnavyofanya Benki ya CRDB, mchango wa sekta ya madini kwenye pato letu la taifa utaongezeka kwa kiasi kikubwa. Nawapongeza Benki ya CRDB kwa kuuona umuhimu wa kuizingatia sekta hii,” amesema Mheshimiwa Waziri Mavunde.

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo.
 
“Leo nasimama hapa kwa furaha kubwa kuwashukuru na kuipongeza Benki ya CRDB kuwa kati ya benki chache za mfano ambazo zimeamua kuja kuwawezesha na kuwainua wachimbaji, watoa huduma. Nataka niwaambie CRDB hamjapoteza, mmeingia kwenye njia sahihi. Hili eneo mlilisahau,wachimbaji wenyewe wanakopeshana, hivyo naomba taasisi za kifedha zitambue kuwa wachimbaji wanakopesheka, wana uwezo wa kulipa na mtayaona mafanikio ndani ya muda mfupi kupitia hii sekta ya madini.
 
CRDB niwapongeze sana, kiasi shilingi Bilioni 64 mlichotoa kwa wachimbaji wa madini siyo kiasi kidogo, kinakwenda kuchochea uchumi wa sekta ya madini, kinakwenda kubadilisha maisha ya wachimbaji wadogo nchini. Hii ni nyenzo ya kuchochea sekta ya madini, CRDB hamjapotea mumewekeza sehemu sahihi na nitoe rai kwa taasisi zingine za kifedha na benki zingine kuiamini sekta ya madini”,amesema Mavunde.
 
Mwaka jana, Mheshimiwa Waziri Mavunde aliwaeleza watendaji wa benki nchini juu ya changamoto ya upatikanaji wa huduma za fedha ikiwamo mikopo kwa wachimbaji wadogo na kuwataka kuangalia namna ya kurahisisha upatikanaji wake ili kukuza mchango wa sekta ya madini nchini ambayo inaajiri maelfu ya wananchi katika mikoa mbalimbali nchini.

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde.
 
Kwenye hafla hii, Mhe. Waziri Mavunde amesema Serikali itandelea kuimarisha mazingira ya uchimbaji nchini ikiwemo kujenga uwezo wa wachimbaji wadogo kufanya utafiti utakaowasaidia kuchimba maeneo yenye uhakika wa kupaa madini tofauti na hali ilivyo sasa wanapochimba kwa kubahatisha.
 
Mhe. Mavunde amesema Serikali inaendelea na juhudi za kuwawezesha wachimbaji wadogo kwa kutekeleza mikakati tofauti kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) pamoja na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kuwa inatambua kuwa bado wachimbaji wadogo wengi wanafanya shughuli zao bila kufanya utafiti wa kisayansi hivyo kutokuwa na uhakika wa kupata madini wanayoyakusudia.
 
Waziri Mavunde amesema hayo baada ya Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa kumjulisha kuhusu hatua kadhaa zilizofanywa na benki katika kuwawezesha wachimbaji wadogo pamoja na changamoto ilizokutana nazo.
 
Akiainisha mchango wa Benki ya CRDB, Raballa amesema imeanzisha kitengo maalum cha madini ili kutoa wigo mpana wa utekelezaji wa mikakati inayoelekezwa kwenye sekta ya madini na kujenga uwezo kwa wafanyakazi kuchambua maombi na mahitaji ya wachimbaji wadogo wa madini.
 
Kitengo hiki, Raballa amesema kinasaidia kuratibu utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa wachimbaji wadogo ambayo wanaipata kwa wakati unaostahili, benki inawapa huduma za bima, inafadhili ununuzi na uingizaji wa kemikali pamoja na mitambo muhimu ya uchakataji na uchenjuaji madini nchini na inawasaidia kubadili fedha za kigeni kila inapohitajika.

Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa.
 
“Benki yetu imeendelea kuwa mstari wa mbele kufanikisha upatikanaji wa fedha za uwekezaji wa miradi ya madini kuanzia kwa wachimbaji wadogo mpaka wakubwa. Hadi sasa tumeshakopesha zaidi ya shilingi bilioni 64. Kati ya kiasi hicho, shilingi bilioni 19 zimetolewa kwa wachimbaji wadogo,” amesema Raballa.
 
Kwa wachimbaji wakubwa, afisa huyo amesema Benki ya CRDB imeidhinisha mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 120 kwenye mradi wa uchimbaji wa madini ya kinywe unaotekelezwa na kampuni ya Faru Graphite na imeteuliwa kuongoza jopo la mabenki kutafuta fedha za ujenzi wa mradi uchimbaji wa madini ya urani utakaogharimu dola milioni 900 za Marekani baada ya kuthibitishwa na Tume ya Madini.
 
“Benki yetu pia imeanzisha kitengo maalumu kinachosimamia mnyororo wa thamani ambacho moja ya majukumu yake ni kuwaunganisha watu na fursa zilizopo kwa kuhakikisha kinaboresha mahusiano na huduma zetu kuwafikia hadi wateja kwa wakati sahihi. Hata hivyo, kati ya changamoto kubwa zilizopo ni wachimbaji wadogo kutotunza kumbukumbu za uzalishaji na mauzo ya madini jambo linaloweza kuwaongezea vigezo vya kupata mikopo kwa urahisi,” amesema Raballa.
Wadau wa Sekta ya Madini wakiwa kwenye kikao
 
Kuhusu Benki ya CRDB
 
Benki ya CRDB ni moja benki zinazoongoza katika ukanda wa Afrika Mashariki, inatoa huduma kwa wateja wadogo, wakati na wakubwa ikiwamo huduma kwa wateja binafsi, huduma za hazina, huduma za bima, mikopo ya biashara, kilimo na uwezeshaji kwa wajasiriamali wadogo.
 
Benki ya CRDB ndio benki ya kwanza nchini Tanzania kutambuliwa na kampuni ya kimataifa ya utafiti ya Moody’s Investors Service kuwa moja kati ya benki 10 imara na salama Afrika katika uwekezaji. Moody’s imeipa Benki ya CRDB daraja la uimara la B1 ambapo ni daraja la juu zaidi kupatikana kwa mabenki na taasisi za fedha katika ukanda wa jangwa la Sahara. Benki ya CRDB imepata utambuzi wa Mfuko wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa (UN Green Climate Fund) tangu mwaka 2019 na pia imetambuliwa kama benki bora Tanzania na jarida la Global Finance kwa mwaka 2020 na mwaka 2022 ilitambuliwa kama benki bora Tanzania na jarida la Euromoney.
 
Benki ya CRDB imekuwa kiungo muhimu cha biashara katika nchi za Tanzania, Burundi na DRC kwa kuwahudumia wateja zaidi ya milioni 4 na kupitia mtandao mpana wa matawi zaidi ya 260, zaidi ya CRDB Wakala 25,000, 550 ATM, mashine za manunuzi 1,800 na Kituo cha Huduma kwa Wateja kinachotoa huduma saa 24/7.
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika leo Jumatatu Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akielezea hatua kadhaa zilizofanywa na benki katika kuwawezesha wachimbaji wadogo pamoja na changamoto ilizokutana nazo.
Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akielezea hatua kadhaa zilizofanywa na benki katika kuwawezesha wachimbaji wadogo pamoja na changamoto ilizokutana nazo.
Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akielezea hatua kadhaa zilizofanywa na benki katika kuwawezesha wachimbaji wadogo pamoja na changamoto ilizokutana nazo.
Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akielezea hatua kadhaa zilizofanywa na benki katika kuwawezesha wachimbaji wadogo pamoja na changamoto ilizokutana nazo.
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony (mwenye tai nyekundu kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10 kwa baadhi ya wachimbaji wa Kanda ya Ziwa itakayotumika kuimarisha shughuli zao kwenye maeneo tofauti wanakotoka.
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony (mwenye tai nyekundu kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10 kwa baadhi ya wachimbaji wa Kanda ya Ziwa itakayotumika kuimarisha shughuli zao kwenye maeneo tofauti wanakotoka.
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony (mwenye tai nyekundu kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10 kwa baadhi ya wachimbaji wa Kanda ya Ziwa itakayotumika kuimarisha shughuli zao kwenye maeneo tofauti wanakotoka.
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini nchini (FEMATA), John Bina akizungumzawakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akitoa salamu wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akitoa salamu wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini Mhe. Masanche Kasaka akizungumzawakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Nyang’wale Mhe. Hussein Kassu akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Msalala Iddi Kassim akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Kamishna wa Madini nchini, Dkt. Abdulrahman Mwanga akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa kikao cha kupokea ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa kutoa huduma za kifedha kwa wachimbaji wa kati na wadogo kilichofanyika Agosti 19,2024 Mjini Kahama Mkoani Shinyanga
Meneja Mwandamizi wa Dawati Maalumu la Madini la Benki ya CRDB, Abdulrahim Msonde akizungumza wakati wa kikao hicho
 Meneja Mwandamizi wa Wateja Wadogo na wa kati wa Benki ya CRDB, Agness Kisinini akitoa akizungumza kwenye kikao hicho

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (mwenye suti ya bluu) akiangalia kikundi cha burudani ya ngoma ya utamaduni ya Kabila la Wasukuma
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (mwenye suti ya bluu) akiangalia kikundi cha burudani ya ngoma ya utamaduni ya Kabila la Wasukuma
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (mwenye suti ya bluu) akitoa zawadi kwa kikundi cha burudani ya ngoma ya utamaduni ya Kabila la Wasukuma
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (kushoto),Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa 
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (kushoto), akisaimiana na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana.

About the author

Alex Sonna