Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA

Written by Alex Sonna

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule, akizungumza wakati wa kikao na ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias, (hayupo pichani) kilichofanyika Treasury Square, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, Wizara ya Fedha, Bw. Jonathan Mpuya, akizungumza wakati wa kikao na ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias, (hayupo pichani) kilichofanyika Treasury Square, jijini Dodoma.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule(kulia), akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, Wizara ya Fedha, Bw. Jonathan Mpuya, wakati wa kikao na ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), kilichofanyika, Treasury Square, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Christian Elias, akizungumza wakati wa kikao na ujumbe wa Tanzania uliyoongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule (hayupo pichani), kilichofanyika Treasury Square, jijini Dodoma.

Ujumbe wa Serikali ya Tanzania, uliyoongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule (wa tatu kutoka kushoto) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao na ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias, kilichofanyika, Treasury Square, Jijini Dodoma.

Ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias, (wa pili kutoka kulia) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao na Ujumbe wa Serikali ya Tanzania, uliyoongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule, kilichofanyika, Treasury Square, jijini Dodoma.

Kikao kiliendelea kilichohusisha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania, uliyoongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule na Ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias, kilichofanyika, Treasury Square, jijini Dodoma.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule (wa tano kutoka kushoto) na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Christian Elias, (wan ne kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika Treasury Square, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

Na. Josephine Majura, WF, Dodoma.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) zimekubaliana kuharakisha hatua za kukamilisha mikataba ya ufadhili wa Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira wa Jiji la Mwanza Awamu ya Pili (LV WATSAN II), unaolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza na maeneo jirani.

Hayo yamejiri Jijini Dodoma baada ya Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule, kwa niaba ya Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu E-maamry Mwamba, alipokutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) ulioongozwa na Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Christian Elias.

Mazungumzo hayo yalitoa fursa kwa pande zote mbili kufanya tathmini ya ushirikiano uliopo na kubaini maeneo mapya ya ushirikiano yatakayochochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Katika kikao hicho, pande zote zilijadili maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendelea nchini kupitia ufadhili wa Benki hiyo pamoja na fursa za ufadhili wa miradi mipya katika sekta za maji na usafiri, ambazo ni muhimu katika kuboresha huduma za kijamii na kuchochea ukuaji wa uchumi.

Aidha, pande hizo zilijadili hatua za mwisho za kukamilisha mkataba wa ufadhili wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka wa Dar es Salaam Awamu ya Nne na Tano (BRT IV & V), unaotarajiwa kuimarisha huduma za usafiri wa umma na kupunguza changamoto za msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

Mbali na Sekta za Maji na Usafiri, mazungumzo hayo yaligusia maeneo mengine ya kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa, ikiwemo miradi ya nishati, mawasiliano na ya habari na (TEHAMA), pamoja na programu za uwezeshaji wa wajasiriamali kupitia mikopo inayotolewa EIB kwa benki za biashara hapa nchini.

Akizungumza katika kikao hicho, Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule alisema Serikali inathamini mchango wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) katika kusukuma mbele ajenda za maendeleo nchini.

“Ushirikiano huu ni muhimu katika kuharakisha utekelezaji wa miradi na programu zinazochangia maendeleo endelevu ya nchi yetu,” alisema Bw. Mtengule.

Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo kinachoratibu Mahusiano ya Nchi na Sekta ya Umma kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Christian Elias, aliishukuru Serikali ya Tanzania kwa mapokezi mazuri pamoja na ushirikiano unaotolewa na timu ya wataalamu katika kuendeleza ajenda hizo muhimu.

“Tunatazamia kukamilisha hatua zinazofuata, ikiwemo kusainiwa kwa mikataba ya ufadhili ya miradi ya BRT IV & V na LV WATSAN na kuanza utekelezaji wa miradi hiyo,” alisema Bw. Elias.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Bajeti, Bi. Vicky Jengo; Kaimu Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Madeni, Bw. Mulesi Manyama; Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, Bw. Jonathan Mpuya; pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB).

About the author

Alex Sonna