marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

betist

betist

Featured Kitaifa

VIKUNDI VYA MALEZI CHANYA 3,963 VYAUNDWA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MALEZI NCHINI

Written by mzalendo

Na WMJJWM, Songwe

Serikali kwa kushirikiana na wadau imeanzisha vikundi 3,963 vya malezi chanya kwa lengo la kutumika kutoa elimu ya malezi chanya kwa jamii katika kukabiliana na changamoto za malezi nchini.

Hayo yamebainishwa mkoani Songwe na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Asha Shame wakati akifungua mafunzo ya wajibu wa wazazi na walezi katika malezi na matunzo ya familia kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii, Maafisa Ustawi wa Jamii na Maafisa Elimu kutoka Ofisi ya Mkoa wa Songwe, Halmashauri za Ileje, Mbozi na Tunduma kwa lengo la kuwawezesha maafisa hao kutoa elimu hiyo kwa jamii Agosti 19, 2024.

Asha amesema Serikali imeendelea kutumia majukwaa tofauti yakiwemo ya viongozi wa dini na waandishi wa habari katika kutoa elimu ya wajibu wa wazazi na walezi katika malezi ya watoto na familia.

“Jumla ya viongozi wa dini 109 kutoka katika madhehebu ya Kikiristo na Kiislamu (TEC, CCT, BAKWATA, CPCT na SDA) ambapo jumla ya waumini 35,520 wameweza kufikiwa na elimu hii. Jitihada nyingine ni kuanzishwa kwa vituo vya kulelea Watoto mchana vya kijamii ambapo tayari vituo 255 vimeshaanzishwa.” amesema Mkurugenzi Asha.

Ameongeza kupitia tafiti iliyofanyika mwaka 2015 ilibainika kuwa wazazi wengi hasa wa kiume wamekuwa hawawajibiki katika malezi ya watoto na kupelekea jukumu hilo kubebwa na wazazi wa kike katika maeneo yote ya mjini na vijijini.

Aidha, amesema elimu ya malezi kwa wazazi ilionekana kikwazo katika suala la malezi makuzi na maendeleo ya mtoto ikiwemo lishe bora, afya, malezi yenye mwitikio, fursa za ujifunzaji na ulinzi na usalama wa mtoto.

Kupitia mafunzo hayo washiriki wanategemewa kutoka na mbinu mbalimbali zitakazowawezesha kuzifikia jamii kuanzia ngazi ya kaya pamoja na wadau muhimu katika malezi ya watoto, kupata elimu ya mnyororo chanya wa malezi ya watoto kuanzia kipindi cha utungaji wa mimba mpaka vijana balehe na kuandaliwa kwa mpango kazi wa Mkoa wa Songwe kuhusu utekelezaji wa Mwongozo wa Wajibu wa Wazazi na Walezi katika malezi na Matunzo ya Familia.

Naye Mkurugenzi wa Shirika la Tanzania Interfaith Patership (TIP) Asina Shenduli akitoa salaam za Shirika hilo amesema kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum pamoja na shirika la UNICEF wameahidi kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha elimu ya malezi chanya kwa watoto na familia inatolewa kwa jamii, hususan katika ngazi za chini.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Songwe Menrad Dimoso akizungumza kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa amesema Ofisi ya Mko wa Songwe itaendelea kusimamia utekelezaji wa mafunzo kwa maafisa hao ili jamii waweze kupata elimu hiyo ili kusadiaia wazazi na walezi kujua wajibu wao katika malezi na magtunzo ya familia kwa ustawi wa jamii na taifa.

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Shirika la Tanzania Interfaith Patership (TIP) NA UNICEF wanaendesha mafunzo kwa Maafisa wa Serikali kwa kada za Elimu, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu ya wajibu wa mzazi na mlezi katika malezi na matunzo ya familia.

About the author

mzalendo