marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

Featured Kitaifa

UTENDAJI KAZI MAHIRI UWE KIPIMO CHA KUITANGAZA SEKTA YA NISHATI-KAMISHNA LUOGA

Written by mzalendo

 

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga (kulia) akipata maelezo kuhusu masuala ya usalama wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Anayetoa maelezo ni Afisa Mwandamizi Afya na Usalama mahali pa kazi kutoka TANESCO, Nelson Boniface.

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga (kulia) akipata maelezo kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Anayetoa maelezo ni Adelina Lyakurwa, Afisa MAsoko Mwandamizi kutoka TANESCO.

……………..

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Wataalam katika Wizara ya Nishati na Taasisi zake kujikita katika kufanya kazi kwa kasi, umakini na bidii ili kuwafikishia
wananchi nishati ya uhakika na kwamba hicho ndicho kiwe kipimo kikuu cha kutangaza kazi za Wizara kwa wananchi.

Kamishna Luoga amesema hayo wakati alipotembea Banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (SABASABA) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

“Sisi Wizara ya Nishati tumejipa changamoto ya kuongeza bidii zaidi ya kufanya kazi na kutoa huduma bora kwani kwani Watanzania wanachotakani nishati ya kutosha ikiwemo ya umeme  bila kuwa na usumbufu wowote.” Amesema Mha.Luoga

Ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuhakikisha kuwa inatoa fedha za kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji, usambazaji umeme pamoja na miradi mingine ya Nishati akitolea mfano mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaotekelezwa kwa kiasi cha shilingi trilioni 6.5 ambao sasa umefikia asilimia 98.

Ametaja baadhi ya miradi mingine ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa kuwa ni pamoja na ya usafirishaji umeme itakayounganisha Mkoa wa Katavi na Kigoma kwenye gridi ya Taifa ambayo ni mradi wa usafirishaji umeme kutoka Tabora hadi Katavi na Tabora hadi Kigoma pamoja na miradi ya kuboresha upatikanaji umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Kuhusu Maonesho ya SABASABA amesema “nimetembelea mabanda ya Maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake na kuona jinsi Wataalam wanavyohudumia wananchi kwa umahiri na kutoa huduma mbalimbali ikiwemo za kuunganisha umeme, kuonesha wananchi kwa vitendo matumizi ya nishati safi ya kupikia na kutatua changamoto mbalimbali ambazo wananchi wanaziwasilisha.”

Ameeleza kuwa, Maonesho hayo ni muhimu kwani Serikali inapata wasaa wa kutoa taarifa za utekelezaji wa majukumu yake kwa wananchi na pia kupata mrejesho wa huduma inazotoa, suala ambalo ni muhimu katika kupima utendaji kazi.

Kuhusu utekelezaji wa ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia, Mha. Luoga amewaasa wananchi kutumia nishati iliyosafi ambapo amewahamasisha kutumia majiko ya umeme yanayouzwa kwa gharama nafuu, yanatumia umeme kidogo na kupika chakula kwa muda mfupi ikiwa ni matokeo ya teknolojia
mpya iliyobuniwa na TANESCO kwa kushirikiana na kampuni ya TaTEDO na SESCOM.

Aidha, amewataka wadau wa nishati hiyo kuhakikisha kuwa wanakuwa na kanzidata itakayojumuisha masuala mbalimbali ikiwemo idadi ya wananchi wanaotumia nishati iliyosafi, matumizi yake n.k ambayo itatumika kama moja ya njia za kujitathmini katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na kuchukua hatua stahiki zitakazowezesha mkakati huo kutekelezwa kwa ufanisi.

About the author

mzalendo