Featured Kitaifa

BRIGEDIA JENERALI MABENA AZINDUA MAHANGA 15 YA VIJANA 825 KJ MTABILA

Written by mzalendo
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
Na.Alex Sonna_KASULU
MKUU wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena, amezindua  Mahanga  15 ya Vijana katika kikosi cha Jeshi 825 KJ Mtabila kilichopo Kasulu mkoani Kigoma huku akiishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuboresha miundombinu katika vikosi vya JKT.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mahanga hayo Bregidia  Jenerali  Mabena alisema  kila mwaka serikali imekuwa ikitenga fedha kwa ajili ya shughuli mbalimbali zikiwemo za ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika vikosi.
Bregidia  Jenerali  Mabena,alisema kuwa mahanga hayo yana uwezo wa kuchukua wanafunzi 100  kwa kila hanga moja na kufanya ongezeko la vijana 1500 kwenye  kikosi hicho.
“Mahanga haya yanaleta maana kubwa kwa sababu lengo la mafunzo haya kwanza ni kuwafikia vijana wote wa kundi la lazima waliomaliza kidato cha sita  na vijana wengine kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ili kuweza kuwapata vijana wote kuhudhuria mafunzo ya uzalendo ,kulipenda Taifa lao,kuwaweka pamoja na kuondoa tofauti dhidi yao .
Aidha ameishukuru  serikali  ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Amiri Jeshi Mkuu kwa kuona umuhimu wa mafunzo hayo ambapo katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake wa wameendelea kupata fedha ambazo wamekuwa wakizielekeza kwenye vikosi vya JKT kuhakikisha wanakwenda kuongeza idadi na hatimaye kuchukua vijana wengi kwa wakati mmoja na kuwaweka pamona.
“Nchi yetu ni kubwa ina watanzania zaidi ya milioni 60 kwa hiyo vijana wa kitanzania wamezaliwa maeneo mbalimbali hivyo unapowaweka pamoja kuwaelekeza utamaduni wa nchi yao  inakuwa ni jambo jema sana”alisema na kuongeza kuwa
“Niendelee kuipongeza Serikali lakini zaidi niwapongeze makamanda vikosi kwani wameweza kuielewa vyema ile nia thabiti ya Makao Makuu ya JKT,wizara ya Ulinzi na JKT na Taifa kwa ujumla la kuwaweka vijana hao pamoja na kutekeleza maagizo hayo kwa vitendo.”
Akizungumza kwa niaba ya wahitimu  JKT katika kikosi cha 825 KJ  Amina Singano alisema  kama vijana,watayatunza majengo hayo ili yaweze kufumu kwa muda mrefu.
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua vitanda mara baada ya kuzindua  Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua  Mahanga 15 ya Vijana  katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.

Kamanda Kikosi 825 KJ, Mtabila  Luteni Kanali Patrick Ndwenya,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzinduliwa Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.

About the author

mzalendo

marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

porno izle

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review