Featured Kitaifa

MAJALIWA AKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MAFURIKO  KATIKA MAENEO YA TAWETA,MASAGATI,UTENGULE NA MALINYI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani MorogoroAprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malimawakati alipowasili katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na MalinyiAprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi wa Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na MalinyiAprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na MalinyiAprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani MorogoroAprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo