Featured Kitaifa

DKT.TULIA AFUNGUA KIKAO CHA MABADILIKO YA TABIANCHI

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  akifungua kikao cha kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba Dunia na utatuzi wake, wakati wa Mkutano wa Mwaka 2024 wa Jukwaa la Kibunge la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani unaofanyika katika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Washington DC, nchini Marekani leo tarehe 16 Aprili, 2024.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendo