Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

WANAWAKE 5 GGML WAHITIMISHA MAFUNZO YA UONGOZI,GWAJIMA AWAFUNDA

Written by mzalendo

Mmoja wa wahitimu wa programu ya mafunzo ya uongozi (FFT) kwa mwama huu, Kulwa Nyirenda anayefanya kazi GGML, akipokea cheti kutoka  kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima (wa tatu kushoto) , wa pili kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Watu Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, nao kutoka kulia kwenda kushoto: Makamu Mwenyekiti wa ATE, Imelda Lutebinga, Mwenyekiti Mstaafu wa ATE, Almas Maige na Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka Chuo cha Mafunzo ya Utawala Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI), Profesa Lucky Yona.

Mmoja wa wahitimu wa programu ya mafunzo ya uongozi (FFT) kwa mwama huu, Zuhura Khamis anayefanya kazi GGML, akipokea cheti kutoka  kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima (wa tatu kushoto) , wa pili kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Watu Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, nao kutoka kulia kwenda kushoto: Makamu Mwenyekiti wa ATE, Imelda Lutebinga, Mwenyekiti Mstaafu wa ATE, Almas Maige na Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka Chuo cha Mafunzo ya Utawala Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI), Profesa Lucky Yona.

Makamu Rais wa AngloGold Ashanti – GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia na ushirika Afrika, Simon Shayo akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu hao.

……

JUMLA ya wafanyakazi watano wanawake kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu mafunzo ya juu ya uongozi na kutakiwa kutumia elimu waliyoipata kwenda kubadilisha kampuni wanazofanyia kazi na jamii zao.

Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ambayo ni ya tisa tangu kuanzishwa kwake mwaka 2016, hutolewa kwa wanawake ili kuwawezesha kuwa na ujuzi na uwezo wa kushika nafasi za juu za uongozi kwenye kampuni zao.

Akizungumza jijini Dar es  Salaam jana katika mahafali ya tisa ya mafunzo hayo yaliyojumuisha wahitimu 76, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amezipongeza kampuni zilizowafadhili wafanyakazi wao wanawake kwa kushiriki mafunzo hayo.

Pia alisema Serikali itaendelea kuunga mkono programu zinazotekelezwa na ATE hasa ikizingatiwa zinalandana na mipango ya serikali katika kuimairisha na kuhamasisha usawa wa kijinsia.

Alisema kaulimbiu ya mahafali hayo yaliyoambatana na mkutano mkuu wa sita wa ATE, inayosema ‘Wekeza kwa mwanamke kuongeza kasi ya maendeleo’ imekuja wakati muafaka ambao wizara yake inakwenda kuzindua sera ya taifa ya jinsia na maendeleo.

Alisema sera hiyo itazinduliwa rasmi tarehe 8 Machi mwaka huu ikiwa ni katika kilele cha sherehe za kimataifa za siku ya mwanamke.

“Nitoe rai kwa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kuendelea kutoa mafunzo haya ya uongozi kwa wanawake pamoja na kuendelea kuwa vinara katika kuhakikisha usawa wa kijinsia unafikiwa maeneo ya kazi. Vilevile, hakikisheni mnahimiza waajiri na wanawake viongozi kuzingatia kuweka mifumo na mazingira rafiki ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kwenye maeneo ya kazi, kwani matukio hayo yapo na kuna baadhi ya maeneo ya kazi hayasikiki kwa kuwa hakuna mazingira rafiki” amesisitiza Dk. Gwajima.

Akichangia mjadala katika hafla hiyo, Makamu Rais wa AngloGold Ashanti – GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia na ushirika Afrika, Simon Shayo alisema tangu mafunzo hayo yaanzishwe tayari GGML imewezesha wafanyakazi wanawake 23 kupata elimu hiyo.

Amesema baadhi yao wamepandishwa vyeo huku wawili wakipata nafasi za juu za uongozi ndani ya kampuni hiyo.

Alisema mafunzo hayo yamekuwa chachu kwa kampuni hiyo kwani yameongeza ushirikiano mkubwa kati ya wafanyakazi na kuimarisha usawa wa kijinsia.

Amesema baadhi yao pia wamekuwa na uwezo wa kushindana kimataifa katika nafasi zao ikiwamo wahandisi wanawake.

“GGML imeendelea kuunga mkono mafunzo haya kuimarisha usawa wa kijinsia lakini pia suala hili limeendelea kutekelezwa ipasavyo na wafanyakazi wenyewe kutoka ndani ya mioyo yao,” alisema Shayo.

Mmoja wa wahitimu hao wa GGML, kutoka Idara ya Fedha, Tammy Sumawe aliushukuru uongozi wa kampuni hiyo kwa kuwahamasisha  wanawake kushiriki mafunzo hayo ambayo yamekuwa chachu kwao na hata kwa maisha yap kutokana na mambo wanayofundishwa.

Naye Profesa Lucky Yona ambaye ni mmoja wa wakufunzi hao kutoka Chuo cha Mafunzo ya Utawala Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI),  alisema wanafunzi hao wamefundishwa namna ya kuongoza, kuzungumza katika mikutano na vikao vya hadhi ya juu pamoja na mafunzo mengine yanayowezesha wahitimu kuwa na sifa za uongozi.

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Suzanne Ndomba-Doran alisema zaidi ya wanafunzi 400 tayari wamehitimu mafunzo hayo kutoka makampuni mbalimbali nchini.

“Nawapongeza wahitimu wa mafunzo ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Awamu ya 9, niwaombe wakaweke juhudi na tija na kuishi mafunzo waliyopatiwa na kutumia nafasi zao za uongozi kuleta mafanikio katika sehemu zao za kazi lakini zaidi kwa jamii inayowazunguka,” alisema Suzanne.

Wahitimu wafahyakazi wanawake kutoka GGML waliohitimu mafunzo hayo ni pamoja na Cecilia Nkanabo,  Kulwa Nyirenda, Njile Izengo, Zuhura Khamis na Tammy Sumawe.

About the author

mzalendo