Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA JUMUIYA YA VETERAN YOUNG PIONEERS ZANZIBAR IKULU

Written by mzalendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Veteran Young Pioneers Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

MKURUGENZI wa Bodi ya Wadhamini Jumuiya ya Veteran Young Pioneers Zanzibar Ndg.Zaidu Juma Ussi, akitowa taarifa ya historia ya Young Pioneers Zanzibar, wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Veteran Young Pioneers Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024  na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Jumuiya hiyo Ndg.Issa Ismail.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar na Katibu wa Jumuiya hiyo Ndg.Issa Ismail, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar Mhe.Khadija Hassan Aboud, akitowa neno la shukrani baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Viongozi wa Jumuiya ya Young Pioneers Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Veteran Young Pioneers Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg.Khamis Rajab Mnubi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendo