Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na viongozi wa Tume ya Mipango wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. Lawrence Mafuru (kulia) Mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru pamoja na watumishi mbalimbali wa Tume hiyo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Previous articleAfDB YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA KUKUZA UCHUMI
Next articleAfDB KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI NCHINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here