Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

AfDB KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI NCHINI

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki  ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kevin Kariuki alipomtembelea ofisini kwake jijini Ddoma leo Februari 05, 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini, Patricia Laverley alipomtembelea ofisini kwake jijini Ddoma leo Februari 05, 2024TatuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika picha ya pamoja  na Makamu wa Rais wa Benki  ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kevin Kariuki (wa pili kushoto) na ujumbe wake alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma leo Februari 05, 2024. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba.

………..

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kevin Kariuki kuhusu miradi mbalimbali ya umeme inayofadhiliwa na benki hiyo pamoja na miradi mingine ya nishati iliyo katika mpango wa kufadhiliwa.

Mazungumzo hayo ambayo yamefanyika tarehe 05 Februari, 2024 Jijini Dodoma pia yamehudhuriwa na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Felchesmi Mramba.

“Benki ya Maendeleo Afrika imeonesha nia ya kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme ikiwemo ya usafirishaji na usambazaji umeme na kubwa zaidi katika hili, wameamua kuweka kipengele cha nishati safi ya kupikia kwenye mipango yao, na hii ni katika kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033.” Amesema Dkt. Biteko.

Amesema AfDB imekuwa ikifadhili miradi mbalimbali ya nishati ikiwemo mradi wa umeme wa Kakono wa megawati 87.8 kwa kuchangia kiasi cha Dola za Marekani milioni 161 na mradi wa Malagarasi wa megawati 49.5 kwa kuchangia kiasi cha Dola za Marekani milioni 120.

Amefafanua kuwa, Benki hiyo pia imetoa sehemu ya fedha za utekelezaji wa miradi ya usafirishaji umeme ukiwemo mradi wa Singida-Arusha-Namanga (kV 400) ambao sasa umefikia asilimia 99, mradi wa Rusumo-Nyakanazi (94 km) ambao umekamilika kwa asilimia 100 na mradi wa umeme wa Backbone unaojumuisha ujenzi wa vituo vya kupoza umeme mkoani Iringa, Dodoma, Singida na Shinyanga ambapo kituo cha Dodoma na Singida vimekamilika kwa asilimia 100.

Kufuatia hatua hiyo, Dkt.Biteko ameishukuru AfDB kwa kutoa sehemu ya fedha ambazo zinatekeleza mradi wa usafirishaji umeme wa kV 400 kutoka Nyakanazi hadi Kigoma ambao sasa umefikia asilimia 92.

AfDB pia imeonesha nia ya kufadhili mradi wa usambazaji wa Gesi Asilia katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar es Salaam kwa kutumia mfumo wa ushirikiano na Sekta Binafsi (PPP).

Pia AfDB imeonesha nia ya kushirikiana na Serikali katika mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar ya kV 220 sambamba na kushirikiana na serikali katika uendelezaji miradi mbalimbali ya nishati jadidifu.

Dkt. Biteko amesema utekelezaji wa miradi hiyo ni fursa adhimu itakayowezesha Taifa kuwa na nishati ya kutosha kwa maendeleo ya nchi.Kwa upande wake, Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kevin Kariuki, amesema nia ya Benki hiyo ni kuhakikisha miradi ya umeme inayofadhiliwa na AfDB inakamilika kwa wakati ili kuwapa wananchi umeme wa uhakika.

Ameongeza kuwa, Benki hiyo itaendelea kufanya tathmini kuona namna ya kuendeleza mipango mbalimbali ya Tanzania kwenye gesi asilia ikiwemo kupitia mpango mkakati wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ili kuainisha maeneo zaidi ya ushirikiano.

About the author

mzalendo