Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Anne Makinda mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Previous articleAfDB KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI NCHINI
Next articleDKT. NCHIMBI ATETA NA MABALOZI WA NCHI SITA MARAFIKI ZA KUSINI MWA AFRIKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here