Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Ndugu Nape Moses Nnauye, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakiwa wamezama kwenye mazungumzo mazito kuhusu masuala mbalimbali, baada ya Waziri huyo kumtembelea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Nchimbi ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, Alhamis, Februari 1, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA HALIMA MDEE
Next articleRAIS SAMIA ATAKA MAJAJI NA MAHAKIMU KUISHI KATIKA MISINGI YA VIAPO VYAO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here