Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA HALIMA MDEE

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024. (Picha na Ikulu)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee akielezea juu ya maendeleo ya afya na matibabu ya Mama yake ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024. (Picha na Ikulu)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watoto wanaopatiwa matibabu ya ugonjwa wa Selimundu pamoja na wachangiaji wao wa uloto alipotembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wauguzi wa hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma mara baada ya kutembelea hospitali hiyo leo, Februari 1, 2024.

About the author

mzalendo