Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

WMA YASISITIZA MATUMIZI YA VIPIMO SAHIHI KWA WAFANYABIASHARA

Written by Alex Sonna

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) Mkoa wa Dodoma umewataka wananchi na wafanyabiashara kuhakikisha wanatumia vipimo sahihi katika shughuli za biashara ili kulinda maslahi ya wanunuzi na kuongeza ufanisi wa biashara nchini.

Hayo yameelezwa leo Mei 19,2026  jijini Dodoma na Meneja wa WMA Mkoa wa Dodoma, Saidi Ibrahimu, wakati wa kukabidhi mizani iliyohakikiwa na wakala huo kwa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani ambayo huadhimishwa Mei 20 kila mwaka.

Amesema  matumizi ya mizani na vipimo vilivyohakikiwa ni muhimu katika kujenga mazingira ya biashara yenye haki na ushindani, huku akisisitiza kuwa wakala huo utaendelea kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika maeneo ya uzalishaji, maghala na masoko mbalimbali.

“Matumizi ya vipimo visivyo sahihi yamekuwa chanzo cha wafanyabiashara wengi kupata hasara bila kutambua, huku wananchi wakipunjwa kwa kuuziwa bidhaa pungufu ya kiwango wanachostahili kupata.”amesema Bw.Ibrahimu

Aidha, Ibrahimu ameonya kuwa mfanyabiashara atakayebainika kutumia mizani au vipimo visivyo sahihi atachukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kutozwa faini ya Sh milioni 20, kifungo kisichopungua miaka miwili jela au adhabu zote kwa pamoja.

Hata hivyo amesema kuwa wataendelea  na ukaguzi wa matumizi ya vipimo sahihi katika maeneo ya uzalishaji, maghala ya bidhaa na masoko mbalimbali nchini kwa lengo la kukuza uchumi imara, jumuishi na wenye ushindani.
Ibrahimu amesema moja ya nguzo za Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni kujenga uchumi imara, jumuishi na wenye ushindani, jambo ambalo haliwezi kufikiwa iwapo bado kutakuwepo biashara zinazofanyika bila kuzingatia vipimo sahihi.
“Hatuwezi kuifikia Dira 2050 kama bado kuna watu wanauza bidhaa kwa kutumia makopo, lumbesa au vipimo vingine visivyo sahihi. Mtu ananunua gunia la kilo 100 la tangawizi, lakini anapokuja kuuza anafanya makadirio au kupanga mafungu. Katika mazingira hayo ni vigumu kujua faida yake halisi. Uchumi shindani utakuwa mgumu sana,” amesema 

Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Soko la Majengo, Fred Segamang’ombe, ameishukuru WMA kwa kutoa mizani kwa baadhi ya wanawake wafanyabiashara katika soko hilo, akisema hatua hiyo itasaidia kuongeza tija na faida katika biashara zao.

Amesema wafanyabiashara wengi sokoni hapo wamekuwa wakikosa mizani na hivyo kutumia makopo au kupanga bidhaa chini, hali inayochangia kuuza bidhaa kwa hasara.

“Wafanyabiashara wengi hununua mzigo uliopimwa kwa uzito rasmi, lakini wanapouza hutumia makopo, mifuko au kupanga bidhaa chini bila kipimo sahihi. Mwisho wa siku wanajikuta wanapata hasara na kuingia kwenye madeni,” amesema 

Segamang’ombe amesema  Soko la Majengo lina takribani wafanyabiashara 4,000, ambapo asilimia 80 kati yao tayari wanatumia mizani iliyokaguliwa na kugongwa muhuri wa Wakala wa Vipimo Tanzania.

Naye mfanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo, Khadija Abdallah, amesema  wafanyabiashara wamekuwa wakikumbana na changamoto ya kutokuaminiwa na wateja kutokana na matumizi ya vipimo visivyo rasmi kama makopo na mifuko.

Amesema  kupatiwa mizani kutasaidia kurejesha imani ya wateja na kuongeza uwazi katika biashara zao.

About the author

Alex Sonna