Wanachama wa klabu ya Maadili ambao ni wanafunzi kutoka Shule ya msingi Chadulu jijini Dodoma, Mwanyama Boniface na Brown Liberty pamoja na mlezi wa klabu hiyo Mwalimu Jaquie Chaula wakishiriki zoezi la upandaji miti shuleni hapo. Zoezi hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kati- Dodoma tarehe 23 Januari, 2023.

Wanafunzi wa shule ya msingi Chadulu ya jijini Dodoma, Salha Yahaya na Theresia Mmanga wakipanda miti pamoja na wanachama wenzao wa klabu ya Maadili katika zoezi kutunza mazingira lililoandaliwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kati- Dodoma tarehe 23 Januari,2023.

Previous articleCFAO MOBILITY YAFANYA MAONESHO YA MAGARI MAPYA KUCHOCHEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA
Next articleWAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here